figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,921
- 63,638
Baada ya serikali kulalamika kwamba umeme unakatika kwa sababu mabwawa ya kuzalisha umeme yamekauka, wachungaji kutoka madhehebu mbalimbali ya kikristo walifanya maombi ili mvua inyeshe na kujaza mabwawa. hatimae kabla hata miezi minne haijaisha Mungu amejibu maombi. hakika kila mtu ameshuhudia uwezo wa Mungu wa kujibu maombi. Hakika Mungu Mukubwa na anajibu maombi na kila mtu kashuhudia hasa wakazi wa dar es salaam. Natumia nafasi hii kuwashukuru wachungaji wote walioshiriki kwenye maombi. Mia