Tunapofikia kuajili Polisi wengi kuliko Walimu (Serikali yajiandaa kwa shari au vp?) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunapofikia kuajili Polisi wengi kuliko Walimu (Serikali yajiandaa kwa shari au vp?)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kwakanga, Dec 21, 2011.

 1. K

  Kwakanga Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Katika gazeti la mwanahalisi leo habari kubwa ni serikali hoi kifedha. Hivyo imebana ajila mpya Polisi wataajiliwa 1,351, magereza 485, makosa ya jinai 111, walimu 417, kilimo 294, jinsia na watoto 247 na maliasili 152

  My take: jumla ya askari ni 1947 wakizidi idara zingine zote kwa ujumla wao, je inamaana serikali inajiandaa kwa shari kuliko kitu kingine chochote? Vipaumbele vyetu kama Taifa vinaonekana wapi?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwani sirikali yetu inawekeza kwenye elimu? Marekani jeshi lao ni wazalishaji lakin kwetu jeshi letu ni consumer
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  kuajili = kuajiri
  ajila = ajira
  wataajiliwa = wataajiriwa
   
 4. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  These are the instruments to safe guard the interests of the ruling class!!! Afadhali mle majani lakini ndege ya rais inunuliwe ( Nabii Mramba-) Walimu hawasaidii ruling class kukaa madarakani!!
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hoja:
  Tunapofikia kuajiri Polisi wengi kuliko Walimu (Serikali yajiandaa kwa shari au vp?) Changia hoja sio maneno ya taarabu hapa!
   
 6. K

  Kwakanga Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Asante FaizaFox kwa kusahihisha hicho kiswahili...
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,794
  Trophy Points: 280
  Askari ni kwa ajili ya kuwapiga watanzania watakaodai haki zao kwa njia ya maandamano.
   
 8. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ngome kuwapa ~289 billion na Elimu kubaki na ~36 billion ni ujumbe wenyewe salamu nzito kwa wanaharakati/wapinzani(CDM), sura halisi ya fikra za watawala wetu na maandalizi kamambe ya kuwa na Taifa la wapiga kura (wajinga, wasio na elimu) na Watawala (wazazi na watoto wa wenye nasaba bara).
   
 9. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  The state is always nasty,brutal and selfish.Unashangaa ndugu hii ndo Tanzania tunayoipenda.
   
 10. s

  sugi JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  kuajili=kuajiri?heeeee
   
 11. g

  gervase Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heri yenu mlioko mjini. Huku vijijini jamani polisi anaogopwa kuliko mtu yeyote, (including J.K). Polisi wamefikia hatua ya kuwakamata waendesha pikipiki na kuwapekuwa mifukoni kwa nguvu ili mradi wapate hela. Serikali imeelekea I.C.U? Jamani, natamani ningejua kuroga nikawafanyizia hawa polisi.
   
 12. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...watasaidia sana katika mapinduzi.
   
Loading...