Guys, Please is not a joke read it careful and take note! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Guys, Please is not a joke read it careful and take note!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGULI, Jun 9, 2009.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Guys, Please is not a joke read it careful and take note!

  Hope you all fine. Jamani napenda kuwapa tahadhari wenzangu kutokana na kilichonipata Jana (sunday 31 May 2009). Ilikuwa hivi: Nilikwenda Mlimani City kufuata Salary yangu . Nilikomba kiasi chote (si mnajua pesa yenyewe kiduchu na daima huwa haitoshi). Nikaondoka bila hata kuangalia left or right kuepusha tamaa ya jengo lile.

  Baada ya kujipakia ktk daladala kuelekea kwangu TABATA. niliketi seat ya dirishani na mwanamke mmoja aged kidogo yuko kama lateforties (48,49....) . Baada ya kutoka pale kufika kituo cha superstar that aged woman waved her hand usoni kwangu. Suddenly my body was heavy, my lips went more heavier . I couldn't move a hand or anything. Nilistuka kituo cha RELINI (mwananchi) that woman alinigusa begani akaniambia NASHUKA KWA HERI then kama vile nimestuka usingizini nikamwambia OK.

  There after fahamu zikanirudia kutazama my handbag iko wazi wallet yenye SENT zangu imefunguliwa na hakuna sent tano. Nikawaambia abiria wenzangu "nimeibiwa". Ilibidi driver asimamishe bus kusikiliza huo wizi na ikibidi bus liende police. abiria wenzangu wakanieleza kuwa mimi na that woman tulikuwa tunazungumza vizuri muda wote kama watu tunaofahamiana na hata manaeno yangu walinisikia nikimwambia huyo woman kuwa pesa ziko LAKI NNE NA ISHIRINI. kusema kweli nilikuwa na kiasi hicho kweli na ilinibidi kukubali kuwa ni kweli nimeshaibiwa kwa ushirikiano wa hali ya juu. kila mtu mle katika daladala hakuamini kuwa ati nimeibiwa na yule SHOSTI wangu. Wengine walidhani ninataka kuwatapeli na kuwasingizia. Kumbe muda wote mimi najiona mzito kufanya chochote lakini machoni kwa wengine nilikuwa kawaida tena very cooperative. Mshahara wangu wote umeondoka kwa that style.

  My advice jamani wizi huu umefikia hatua ya ajabu zaidi ambayo sikuwahi kufikiria. Tahadhari za ziada zitakazokujia usizipuuze zitakusaidia Dunia imekuwa tambara bovu. Tumuombe Mungu atusaidie

  Frankly speaking NIKO CHALI sio mchezo. mwezi huu nimefulia tena bila sabuni. Inaniuma sana kuwa nitaishije this month. Yote namwamchia MUNGU naomba awalinde na nyie pia wambieni ndugu jamaa na marafiki muwapendao wakao chonjo.


   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  this was posted by Masa sometimes ago
   
 3. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,070
  Trophy Points: 280
  Nguli, hii ishatoka...last week aliitoa Masanilo!! ulikuwa wapi? likizo Tunduru?
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  sIKUWEPO KANIELEKEZA MSHIKAJI WANGU NIKASEMA NIWAFAHAMISHE WAKUUSAMAHANI IMENISHTUA SANA NIKASEMA NIWAKOE WAKUU WENZANGU NA WASOMAJI WOTE WA JAMII FORUM WASIJE KUTANA NA HUYU BIBI/MAMA
   
Loading...