tuitangaze tanzania yetu kwenye mitandao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tuitangaze tanzania yetu kwenye mitandao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JosM, Jun 8, 2009.

 1. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya Watanzania sijaona wakiitangaza Tanzania kitalii au kuonesha rasilimali zetu tulizo nadho, zaidi ya kuzungumzia siasa zaidi na mambo mengine.kwa wenzetu Kenya wao wako tofauti sana karibu kila Mkenya ana akikisha anaitangaza nchi yake duniani kote.Ebu angalieni hii link hapa ambayo ina sambazwa na wakenye kwenye forums zetu hili tujionee rasilimali zao na jinsi walivyo piga hatua kimaendeleo.link hii hapa MISTERSEED.COM...............MESSAGE BOARD: 30 assorted photos from across Kenya... We have spoiled a good country kweli
  JAMANI NA SISI TUAMKE SASA.
   
  Last edited: Jun 8, 2009
Loading...