Jinsi ya kupunguza safari za maafisa wetu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kupunguza safari za maafisa wetu.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kinetiq01, Jun 7, 2009.

 1. kinetiq01

  kinetiq01 Member

  #1
  Jun 7, 2009
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Were these guys at Cisco showcasing a video conferencing product to our president and his delegation?[have a look below].

  I guess they were saying "this is how you could have stayed at Magogoni and actually be able to do most of what you've come to do right from your office at a fraction of the cost.

  Katika hiyo shot, walikuwa ofisi za Cisco. Lakini wakawa wameunganishwa kwa video link na maafisa wa Cisco waliokuwa Geneva na London.

  Hata hivyo sitashangaa endapo hakuna hata afisa mmoja aliyeshtukia katika ujumbe wa Tanzania kwamba mbele yao ni teknolojia inayogharimu $200,000 lakini in a long run inaweza ku-save billions of Tshillings.

  Anyway, just a thought....
   

  Attached Files:

  Last edited: Jun 8, 2009
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapo pekundi I think ulimaanisha long run. Tatizo viongozi wetu siyo visionaries na hawana ubunifu wa kubuni mikakati ya kupunguza gharama. Wao ili mradi kodi zetu zina lipia hawana neno.
   
 3. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Tena mkuu hiyo wakisikia hata mtu anaileta bure wataiwekea zengwe haswa! Manake watajua itakuwa imekata ule mrija mnene wa kufyonzea kodi zetu!

  Itakuwa kama enzi zile wafanyakazi wa benki walikuwa wanazipiga vita sana ATM kwa kuhisi kwamba zitawakosesha ajira!
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mi nakubaliana na wewe kabisa. Viongozi wetu hawa angalii the wrong run kwa sababu wana jua hawata kuwepo. Wanaangalia the now na jinsi gani wata kavyo faidika sasa hivi.
   
 5. kinetiq01

  kinetiq01 Member

  #5
  Jun 8, 2009
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na bado hawa maafisa wetu hoja zao ni kwamba wanasafiri kwenda kujifunza jinsi ya kutumia teknolojia.

  Accountability ni tatizo kubwa, jamaa wanaweza kupiga trip 50 lakini kwasababu inakuwa vigumu kufanya quantification basi huwezi kuwashinda kwa maneno.

  Muhimu ni kuwa private sector wanaviona hivi vitu, na wanapotumia teknolojia za aina hii kwenye biashara zao wanabadilisha mwenendo hata wa serikali kwa njia moja au nyingine.

  Najua kuna baadhi ya kesi zimekuwa zikiendeshwa kwa video link na mashahidi walio nje ya Tanzania. Pole pole, huenda tukafika safari yetu.
   
 6. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2009
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kaka hata huku kwetu ipo. Sio washamba kiasi hicho. Pale IFM ipo na serikali wamekuwa wakitumia.

  omarilyas
   
 7. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani hizi safari siyo zake mkuu kujiamulia tu, sangoma wake wamemshauri magogoni asikae zaidi ya muda flani at any one time...
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Aende mbuga za wanyama akatalii basi......at least ata kua ana promote utalii nyumbani.......
   
 9. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona yupo huko karibu kila weekend ...kama hayupo bagamoyo yupo mbugani
   
 10. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kumbe. Basi mbona hiyo ingekuwa bomba kuliko kuvuka bahari kila siku. He needs to publicize na hizo safari za mbugani kama safari zake za nje zinavyo kuwa publicized.
   
 11. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Safari zikipunguzwa, watapata wapi marupurupu? Hizo safari ndio zinawaongezea kipato baadhi ya maofisa wa serikali.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mazee nashukuru kwa kuweka mawazo mapya hapa jamvini.

  Niliwahi kuwa na wazo kama hili lakini nikafiri jinsi nature ya safari za wakulu wetu nje ya nchi mara nyingi ni za kuombaomba, nadhani ili kuonesha uhitaji inabidi uende mwenyewe physically kuonesha msisitizo.

  Ila sijui visheni ya viongozi wetu maana hawana kawaida ya kubana matumizi wanayoyahubiri..wanasema majukwaani kuwa tunabana matumizi halafu kesho kwenye gazeti unakuta wametangaza zabuni ya kununua mashangingi 500..
   
Loading...