Injinia
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 849
- 28
Hivi karibuni nilikuwa naelekea Arusha kutoka Moshi nikapita mji mdogo wa Boma Ng'ombe ambao ni "highway town" nikashangazwa kupishana na bajaji kibao zilizobeba abiria zinakatiza barabara, jambo ambalo niliona ni hatari kwani lile eneo lina magari mengi na pia kituo maarufu kwa magari makubwa ya mizigo.
Je wenzangu mnalionaje hilo? Hakuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati na kutoa mipaka ya hivi vidude?
Je wenzangu mnalionaje hilo? Hakuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati na kutoa mipaka ya hivi vidude?