Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nikiangalia mbele miaka 50 ijayo naona ni mbali sana.Sijui kama jamii hii ninayoiona leo ina ubavu wa kufika huko!Jamii imeoza,imekwisha kabisa.Si watoto wala wakubwa,maadili hakuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeangalia "Obama Revealed" tena kwenye CNN last weekend na kuona ni wapi Obama alikotoka na sasa hivi ndio hivyo anagombania Uraisi wa US kwa Ticket ya Democratic Party ambacho ni kitu cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
LONDON, Sept 11 (Reuters) - Dominion Petroleum Ltd on Thursday said it had agreed to farm out 50 percent of its interest in the Mandawa production sharing agreement (PSA), onshore Tanzania to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana, Wahenga walinena, Lisemwalo lipo, kama halipo, laja! Jana jioni, takriban saa 14:01:07 GMT +300 (yaani saa 8:01:07 za Afrika Mashariki), nilipokea ujumbe mfupi wa maaandishi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
2008-09-06 09:27:56 Na Abdallah Bawazir NIPASHE Pinda alisisitiza kuwa sekta binafsi inafaa kuungwa mkono na kuwezeshwa, kwani inatoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi na ndiyo maana...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Ni muda mrefu sasa matukio ya ajabu yamekuwa yakitokea katika mashule yetu.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna hatua madhubuti zinazo chukuliwa kutafuta chanzo cha matatizo hayo na hatimaye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Govt decides to retain NIC PIUS RUGONZIBWA Daily News; Wednesday,September 10, 2008 @20:20 The government will not sell off the National Insurance Corporation Limited (NIC), but...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bwana Kikwete ameongea.Kwakweli kila siku anaongea,lakini leo kaongea zaidi maana sikumuelewa.Eti anaita wanasiasa wake 'utitiri'.Kaa!.Kuwaita utitiri maana yake nini,kama si kwamba,kawaona hawana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kikwete majaribu Mwandishi Wetu Septemba 10, 2008 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo CHAMA cha Mapinduzi (CCM) bado kinasukwasukwa, na safari hii tatizo kubwa ni hatua ya Jumuiya ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The world's verdict will be harsh if the US rejects the man it yearns for An America that disdains Obama for his global support risks turning current anti-Bush feeling into something far worse...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Schwarzenegger team sees recall effort as serious AP foreign, Wednesday September 10 2008 SACRAMENTO, Calif. (AP) - The union representing state prison guards filed a formal notice Tuesday...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwako Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Salaaam! Ni imani yetu kuwa kwa mapenzi ya Mungu, huko uliko utakuwa umetumisi wanao tunaoishi tukijivunia Utanzania wetu kwa misingi uliyotujengea na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana wa houston walihuzunishwa kupitiwa na balozi sefue baada ya kikao chake na eti wawekezaji ktk jiji la houston. kitendo cha sefue kutotoa au kueleza ugeni mzima uliofika Houston ukitafuta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu ni mwezi mtukufu kwa waumini wa dini ya Kiislamu. Mimi na mmoja wa wapenda dini. Dini ni njia ya kumcha Mungu au kumcha unayemwamini. Mimi ni mkazi wa Manzese Uzuri. Sifa mojawapo ya eneo hili...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Nakumbuka about a month ago MWANAKIJIJI kwenye thread ya Dr Masau iliyofungwa alitoa wazo Serikali yetu iwe ina bail out biashara kama vile serikali ya USA ilivyofanya na Freddie Mac and Fannie...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nchi yetu ya Tanzania inavutia kwa kila hali. Ukiwepo mlima mkubwa kuliko yote Barani Afrika. Misitu na Mbuga nzuri za wanyama ni kivutio kizuri sana cha utalii. Tatizo lililopo hapa nchini ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zanguni habari za saa hizi Mimi na duku duku langu na kilio kwamba tunaibiwa mamilioni na hawa jamaa wa Tanesco,EWURA na sasa wameungia hawa Manispaa. ETi sasa wanatufanya tulipe TAA ZA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimegundua ukiwa na uchungu na maisha ya watanzania wanaotaabika na hali zao duni,utakuwa umebeba mzigo mzito sana.Kila siku uwa najiuliza,kwa nini maisha yetu yanakuwa mabaya kila siku na sipendi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maisha ya mwananchi wa kima cha chini yanakuwa magumu siku hadi siku. Wiki iliyopita bei ya nyama ilikuwa ni shilingi 3,200 kwa kilo kwa fedha ya ki-Tanzania. Juzi nilinunua nyama hiyo hiyo kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jana usiku wakati najiandaa kwenda kulala, kuna kitu kimenigusa akilini. Hicho kitu sio kwamba kimenigusa kwa mara ya kwanza, ila tu jana kimenigusa tofauti kidogo na siku zingine…… …..kwenye...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…