Hivi, ni tabia mbaya kuongea lugha yako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi, ni tabia mbaya kuongea lugha yako?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Quemu, Sep 25, 2008.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Majuma kama mawili yaliyopita nilikuwa na mshikaji mmoja kwenye public transportation (train). Sasa kila nikimwongelesha kiswahili, yeye ananijibu kwa kizungu.

  Mimi - "Hivi umeshaiona ile movie mpya ya Will Smith?"
  Yeye - "Yeah, I've seen that....the very first week it came out."
  Mimi - "Duh, mimi bado. Naisubiri mpaka itoke kwenye DVD."
  Yeye - "Nah myn! A movie like that, you gotta see it in the theater."


  Nikakwazwa....'huyu mshikaji vipi, mbona anani Pundit-lize???'

  Tuliposhuka ndio akanitonya kuwa alikuwa ananijibu kizungu kwa sababu hakutaka kuwa rude kwa watu wengine waliokuwa mle (kwa maana nyingine nilionekana rude mle, na yeye akaonekana poa).

  Swali - Je ni tabia mbaya (rude) kuongea lugha yako kwenye kadamnasi ya watu wasioielewa?
   
 2. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  very rude!! coz how wud u feel if you were in room for an hr and all those around u are speaking cantonese??
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Sep 25, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hapana. Huyo atakuwa ni mmoja wa wale malimbukeni wanaodhani Kiingereza ni lugha bora au kujua kiingereza ndio bab kubwa. Wako wengi sana hao na hata humu tunao na mmoja wao ni.........
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Sep 25, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  I wouldn't care...I'd just tune them out....
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  QM, mimi nadhani kwenye public transport au open-public area yoyote siyo rude kuongea kwa kutumia lugha yoyote uijuayo. Kwangu mimi nafikiri inakuwa rude tu pale mtu anapofanya hivyo kwenye mazingira ya kazi ambapo lugha ya matumizi inayo/zinazo kubalika ni tofauti na lugha ambayo mtu huyo anaongea, lakini pia wakati mtu anaongea katika lugha hiyo panakuwepo na kadamnasi ya watu wasiyoijua lugha hiyo. Na inakuwa mbaya zaidi pale anapofanya hivyo bila kuwaomba ridhaa wenzake wasioelewa lugha anayoongea.


  SteveD.
   
 6. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Binafsi sidhani kama nitakerwa. Kwa mtazamo wako, kinachofanya sitwesheni mzima kuwa rude ni nini hasa?
   
 7. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ha ha haa...ngoja akuibukie na kamusi yake....
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Sep 25, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kheeeee....unamjua?

  Maana hayuko mmoja tu....wako kadhaa...mwingine anaitwa.....
   
 9. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pengine alikuwa ni mtu aliyetoka kwenye lile kabila linalosifika KWA! "mama koku, he told me stupid infront my wife".
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Si umtaje tu... maneno mengi ...!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Sep 25, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Njabu Ngabu aka Nyama Hatari aka Jumanne Athumani aka Mrosso aka Jokofu Kiwete aka BP Biscuit Mane aka Ndjabu Tha Dude na Pundit aka Critic......are you happy now?
   
 12. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  QM na Nyani, Pundit sidhani kama yuko kwenye makosa anapofanya hivyo hapa kwenye forum. Naamini Kiingereza kina maneno mengi kuliko Kiswahili hivyo ni rahisi kwa mtu kunyakua neno la kutumia kutoka huko wakati unaandika hapa jamvini katika mazingira tuliyomo. Basi akiandika hivyo kwenye public forum kama hii ambayo inaruhusu matumizi ya hizi lugha mbili sioni kama anakuwa ameenda kushoto. Isitoshe yawezekana mazingira aliyomo/anayoishi yanamfanya awe mwenye kujieleza vizuri zaidi kwa kutumia lugha ya Kiingereza.

  Kingine ambacho miye nimeshakielewa kutoka kwa Pundit ni kwamba, hata pale anapotumia lugha ya Kiswahili, lugha anayoandika bado inakuwa sanifu zaidi kuliko hata mimi na baadhi ya wenzangu tuliomo humu ambao karibu lugha zote zinatupiga chenga. Sasa kwangu mimi sina jingine bali kumpongeza tu kwa uweza wake wa lugha na maamuzi ya kuitumia ipasavyo pale anapoamua na inapomruhusu kufanya hivyo bila kukiuka.
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,661
  Trophy Points: 280
  Kama hao watu wengine hamkuwa nao pamoja basi hukuwa rude.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Sep 25, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Huyo sio nyani, ni sokwe....
   
 16. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Steve,
  Pundit mbona yuko poa tu. Huu ukumbi una lugha mbili. Kwa hiyo ni sawa kabisa kuzitumia zote kwa wakati wowote hule.

  Ile 'Pundit-lize' ilikuwa ni mzaha wangu wa siku zote tu...

  Mimi nazungumzia kwenye mazingira ambayo watu wengi hawaelewi lugha yako, halafu unaikoroga. Na hii sio kwenye kizungu na kiswahili tu. Hata bongo inatokea mara nyingi tu. Unakuta mko kwenye basi, halafu abiria wawili wanapenyeza kimatengo masikioni mwenu. Je watakuwa wamefanya tabia mbaya?
   
 17. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  QM, kwa mfano ulioutoa, jibu langu sawia na nilivyoeleza hapo juu ni HAPANA.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Sep 25, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Sasa kama unakiri lugha zinakupiga chenga utawezaje kujua lugha atumiayo kuandika ni sanifu zaidi kuliko wewe na hao wenzako?
   
 19. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145


  Sawa.

  Sasa ni vipi kama kama ukiwa kwenye kadamnasi, halafu wamatengo wawili wanaongea kimatengo huku wakikuangalia kwa kuibiaibia huku wakichekacheka (au kubetua midomo)? Bado haitakuwa rude?
   
 20. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  A very thoughtful question.

  I would say it is OK to speak Swahili/ indigeneous language, and not to speak your language - at least for the given reasons- would constitute an undesirable and wimpish self consciousness, essentially a self esteem question.

  The question revolves around two conflicting schools of thoughts, one advocating an individuals right to freedom of expression in their own element/mother tongue together with shunning away cultural imperialism as a negative of globalization, with far reaching iimpacts, as far as the possible extinction of indigenous languages.

  On the other hand, polite society has its rules, where one is supposed to be overly concerned about the plight and feelings of others, where perceptions may trump over reality, and frankly, where fear of xenophobia may occupy an even more paramount incentive to speak a global language than politeness.

  To me, the tone and loudness of conversation is of more importance than the language.Actually there are some private conversations which I would prefer people to speak in their language if they can.

  I am more concerned about the Cantonese cat speaking loud rapid Cantonese because he is speaking loud and rapid, not because he is speaking Cantonese.So if you keep it to yourself, nobody will have a reason to bother you.Who knows, you may even get a Finnish girl interested in Swahili.

  On the other hand the fellow insisting speaking English is just another heavy accented African.

  I used to have a Scottish eldery co-worker in bongo, every time he would talk to me, in English, I would reply back in English. Then one day he was lamenting his love of languages and how nobody except the cook was speaking to him in Swahili.

  Our languages enrich the world we live in, one of my fears (I know it sounds hypo) is that these global languages are going to dominate so much that the indigeneous language will go extinct.This is already happenning in Papua New Guines (albeit Papua New Guinea is a stretch because it is the one country with the most languages per capita in the world, so some of them will die a Darwinian death anyway)

  I know the language used above is contrary to the opinions expressed, but the irony is that my love for language fuels my embrace for the not so well known language, English.

  On that note I can only be against your friend's position because of the reason he gave for speaking English, and because he was consistently replying in English (Im sure it sounded strange, what was he thinking? By not speaking English the rest of "them" would think you guys were planning to blow shyt up?)
   
Loading...