Tusaidiane jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusaidiane jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee wa Gumzo, Sep 25, 2008.

 1. Mzee wa Gumzo

  Mzee wa Gumzo Senior Member

  #1
  Sep 25, 2008
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tusaidiane kaatika hili.Nimeikuta kwenye web ya wanazuoni wa huko nje.Ni kweli hivi ndivyo tulivyo kwa kila hali????

  Chungulia humu (iadaiwa kuwa kinachooonekana ni Videokino/jumba la kuoneshea cinema)
  Institut für Ethnologie und Afrika-Studien
   
 2. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2008
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hawa jamaa wanatudharau sana. Wakija huku wanapiga picha sehemu za ajabu halafu wanapeleka kwao. Dar es salaam sehemu gani iko hivyo, mbona hakuna hata alama ya stima?. hii lazima tuipigie kelele kimataifa ama sheria kali za upigwaji picha za maeneo ziwekwe kama kwa wenzetu Iran.
   
 3. O

  Ogah JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  tukubali tu...huko ndio kwetu......Kimanzichana
   
Loading...