Abakwa mpaka kufa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abakwa mpaka kufa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 23, 2008.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 23, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  2008-09-23 11:05:05
  Na Salome Kitomary, PST Moshi


  Watu wasiofahamika, wamembaka hadi kufa msichana mkazi wa Majengo kwa Mtei, Manispaa ya Moshi.
  Baada ya kufanya unyama huo, watu hao waliutelekeza mwili wake karibu na nyumba aliyokuwa akiishi.

  Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Baruti Ramadhani alisema kuwa, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita usiku eneo la Majengo kwa Mtei, Manispaa ya Moshi.

  Alisema siku ya tukio, msichana huyo alikuwa akirejea nyumbani baada ya kumaliza kazi katika duka la Liberia Mini Supermarket.

  Alisema akiwa njiani, alikutana na kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni wahalifu ambao walimkamata kwa nguvu na kisha kumfunga mdomo na kumfanyia kitendo hicho cha kinyama.

  Alisema walimziba mdomo kwa kutumia vitambaa na kuanza kumbaka kwa zamu hadi alipopoteza maisha.

  Alisema baada ya watu hao kubaini kuwa msichana huyo amekufa, waliubeba mwili wake hadi katika eneo karibu na nyumba yake na kuutelekeza hapo.

  Kaimu Kamanda huyo aliongeza kuwa, watu hao hawakuchukua kitu chochote cha marehemu kwani simu yake ya kiganjani na viatu vyake, vilikutwa pembeni ya mwili wake na kwamba inasadikiwa walikuwa na visa naye.

  Katika tukio lingine, Agnes Ndewirio (45), mkazi wa Kiborloni, Manispaa ya Moshi ameuawa kwa kupigwa
  na mume wake na kisha kumtoboa jicho la upande wa kushoto kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi.

  Kamanda Ramadhani alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki wakati marehemu huyo akiwa amelala na mume wake nyumbani kwao Kiborloni.

  Alisema baada ya mauaji hayo, mtuhumiwa aliulaza mwili wa marehemu pembezoni mwa kitanda.
  Alimtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Constantino Kaswai (60), mkazi wa Kiborloni.

  Alisema mtuhumiwa huyo alikuwa ametoka gerezani
  kwa dhamana Septemba 19, mwaka huu kwa kosa la kupatikana na pombe haramu ya gongo.

  ``Baada ya mtuhumiwa kurejea nyumbani alianza ugomvi ambao chanzo chake inadaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi wa kwa nini hakuwa anamtembelea gerezani kwa kipindi alichokaa huko, ambapo alimpiga hadi kufa,`` alisema.

  Alisema katika tukio la kwanza hakuna anayeshikiliwa na kwamba polisi wanaendelea na uchunguzi.

  Aidha, alisema mtuhumiwa anashikiliwa na polisi na kwamba baada ya upelelezi kukamilika, atafikishwa mahakamani.

  My Take:
  Polisi wafanya msako na kutunza kumbukumbu za DNA ili hatimaye watu watakaokamatwa wahusishwe moja kwa moja na kifo cha binti huyu na hatimaye msumemo wa sheria uwakute .
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huyo binti yawezekana alikula vya watu akawa anapiga chenga kutoa huduma......au huyo binti alimtosa jamaa ,jamaa akaamua kumfanyizia......haiwezekani wamle mande bila sababu lazima kuna sababu hapo....any way wajaribu kumfatilia huyo ex-boyfriend wake..
  Mambinti kuweni makini mnapo kula vya watu kisha mnakula kona ooh
   
 3. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani kilichosababisha kifo chake huyo binti ni suffocation ya hayo matambara waliyomuweka mdomoni ili asipige kelele...Mande/Mtungo kama wenyewe si rahisi kusababisha kifo. Any way bado ni kitendo kibaya si cha kinyama kwani wanyama huwa hawauwani hivyo....Poleni wafiwa.
   
 4. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2008
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa vile tuna mashine ya DNA siku hizi, ni muhimu ianzishwe data bank ya DNA ili kwenye tukio kama hili, DNA zozote atakazokuwa nazo huyu marehemu zihifadhiwe ili zisaidie uchunguzi.

  Inaweza isiwe hivi sasa lakini hapo baadaye wahusika wanaweza wakakamatwa. Hii pia itakuwa ni kizuizi kizuri kwa watakaotaka kufanya unyama kama huu hapo mbeleni.
   
 5. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Na ni unyama kutumia lugha kama hiyo kuelezea kilichomjiri huyu victim.

  Ndio haya huwa nasema waandishi wa bongo mtoto akigongwa na gari wanaandika "Denti apigwa bunda, afa." Watu wakichinjwa na maharamia wanaandika "Majambazi yakufuru tena Dar. "

  Waandishi wa Bongo, kina Mzee Mwanakijiji, mna nini?

  Mleta mada tafadhali rudisha kichwa cha habari sahihi kilichotumiwa kwenye gazeti la NIPASHE LA IPPMedia: Msichana abakwa hadi kufa.

  Ahsante.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Sep 23, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Duh! mi baada ya kusoma kichwa cha habari nikadhani labda alitiwa hadi akafa...sasa nikawa najiuliza....kutiwa na njemba kibao kutasababushaje mtu kufa? Kumbe walimwekea matambala mdomoni......na pengine hiyo ilisababisha suffocation....
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Kweli una kichwa kigumu.....
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Sep 23, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...bwana weehh, tena mwandishi mwenyewe ni mwanamke/anatumia jina la kike....


   
 10. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2008
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haki ya Mungu Wanyama wapo peaceful Mungu Mkubwa amewaumba wanahisi kama sisi tunavyo hisi na wana penda, kuzaliana, hili suala la wengine kuwala wengine hata sisi tunalifanya mfano tunavyokula ngo'mbe, kuku, bata na kadhalika. Lakini huwezi kukuta fisi anamla fisi mwenziwe!

  Inabidi tukiangalie hiki kiswahili kwa undani kwani mie nadhani kuna baadhi ya maneno hayana maana nzuri zaidi ya kuwafanya watu wawaze inside the box maneno kama "kumfanyia mtu unyama" "alie juu mgoje chini" "pole pole ndio mwendo" "haraka haraka haina baraka" mwenda pole hajikwai" (hata gizani?) na mengine mengi!

  NA WANYAMA HAWANA MANDE? HII MANDE WATU WAMEIIGA WAPI?
   
 11. Silencer

  Silencer Content Manager Staff Member

  #11
  Sep 23, 2008
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Note: mwanakijiji, you should know better not to trivialize such an abominable act by using a euphemism (mande) which seems to glorify and romanticize the alleged rape.

  Kuhani and others, thank you bringing this up.
   
 12. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2008
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Duu huu ni unyama wa hali ya juu, hao wahalifu watafutwe na wapewe maximum penalty.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Sep 23, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Woooooow!!!!!!!
   
 14. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2008
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  I cant believe this! hivi kubaka ni kitendo cha kinyama? Mie nahisi si kweli maana wanyama wakiwa kwenye heat hata kabla ya kupandwa ataanza kupanda wenzake hata kama kondoo anamkia mnene kiasi gani ataufubua ili mambo yawe! sasa wao na sisi nani wastaarabu?

  Siafiki kama wanyama hubakana ila hufanya tendo kwa wakati muafaka na kwa maridhiano.

  Tofauti ni kuwa dume mwenye nguvu ndio hula tunda hiyo ni nature hata sisi binadamu mwenye kisu kikali ndio hula nyama.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Sep 23, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Labda ni tendo ambalo si la kibinadamu....
   
 16. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Waliofanya hiki kitendo cha kinyama ni Wauaji. Watafutwe, wakipatikana sheria ichukue mkondo wake.
  Mwenyezi Mungu aipokee roho ya marehemu katika ufalme wake. Amen.
   
 17. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu Sokomoko, Wanadamu wameiga huu uchafu kutoka kwa adui yao SHETANI.
   
 18. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sokomoko,

  Unaleta mzaha mzaha wakati kuna mtu kafanyiwa kitu kama hicho rafiki? Imagine dada yako au msichana wako angekamatwa kichochoroni akajamiwa mpaka akazirahi, akafa. Just imagine.

  Au wewe mwenyewe siku moja ujichangaje sehemu sehemu halafu watu wakutulize, wakulegeze, wakufanyie mbaya mpaka uchanike, uvuje damu, yooote iishie, uende haja kubwa mpaka uzirai, waendelee weee mpaka ufe.

  Halafu msibani tukaleta mzaha mzaha ku debate kama waliokufanyia mbaya mpaka ukafa ni wanyama au la. Ndugu zako wangejisikiaje?
   
 19. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #19
  Sep 24, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  chagulagah!!!!!! chagulagah mayoo!!!

  chagua !! chagua mamaa!!

  wenzetu wasukuma wastaarabu sana.............wenyewe kwewnye ngoma zao hakuna mande.......humzunguka msichana hata watu 20...na kuanza kumlilia na kumshawishi kila mmoja kwa nguvu na uwezo wake wote..akishachaguliwa mmoja basi wengine hukubali matokeo............

  ..infact kugombea wanawake ni silka ya wanyama wote.........

  ...mtungo ni silka ya mbwa au kuku..et al

  ..mbwa wao hupigana na mbabe hula mzigo...akimaliza ngumi huanza upya na anayeshinda tena hula ..na kwa kuwa mbabe atakuwa amechoka uwezekano wa kushinda huwa mdogo..so mwingine naye hula and so on....unless huyu mbabe hana mpinzani...sisi wanadamu pia wanaofanya mtungo anayeanza huwa ni mbabe hata kama kuna maelewano namna gani....na mnyonge anakuwa wa mwisho....

  kuku pia hugombana ...na mbabe huchukua hatimiliki ....lakini pia na wengine hupita....na kuku hutumia chambo kupata mtetea .....na inafurahisha sana pale anapomfuata mtetea na kumuoneshea bega hadi chini...zamani tunasema anamwambia "nitakununulia gauni refu mpaka hapa!"....na kama anamdudu aanamuitia ..akishakula tu anamuoneshea kibega..mtetea anakimbia sitaki nataka...alafu mwenyewe anakaa chini..............

  kwa hiyo ukijaribu kufuatilia maisha ya wanyama utagundua binadamu pia ana silka za wanyama ..na hutalaumu sana wanaume kupigana makonde ,kuhonga etc kwa ajili ya kupata mwanamke........pamoja na hayo utagundua kuwa hata mtungo unawezekana BILA KUUWANA .........especially kama wanaume hawako wengi sana..ie hata wanaume wanne kwa mwanamke mmoja inawezekana...ikiwa wanaweza kumshawishi na akakubali!!!!........lakini kwa kumlazimisha hata kama mwanamme akiwa mmoja haikubaliki..na inaweza kuwa na madhara yakaleta kifo!
   
 20. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2008
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni cha kibinadamu lakini si cha kiungwana. Tusikane yale tuyafanyayo na kuwasingizia wanyama ilhali hao wanyama pia wana desturi zao.
   
Loading...