Ndugu wana JF mwishoni mwa mwezi huu, kutakuwa na tukio moja la ajabu litakalo tokea kwenye ardhi alimo lala baba wa taifa.
Jaribu kufikiri mkusanyika wa mafisadi watu wanaonuka kama hawa...
Hii kwa mujibu wa BBC leo.Hawa mabwana vipi tena ama wameona
Kenya kumeiva basi na kwao je.....Soma link ya BBC kisha mgombe..CUF aisee wana kazi hawa watu...
Posted Date::3/14/2008
Timu ya Rais yatakiwa kuwataja mafisadi
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
MJADALA wa kutaka kutajwa majina ya watuhumiwa wa ufisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje...
Mtu aliyepotea njia hajitendei haki kwa kuendelea na njia ile ile aliyopotea akitegemea kuwa kwa "bahati" ataweza kufika kule anakotaka kufika. Tanzania tuliyo nayo leo hii ni matokeo ya safari...
Mnyika, naomba upokee ushauri wangu huu na utimize ninachokuomba.
Kijana kwa kweli kwa muda mrefu sasa umekuwa ukipush kuhusu baraza la vijana taifa, kitu ambacho kinanishawishi kwamba hiyo ni...
By Helen Nyambura-Mwaura
DAR ES SALAAM (Reuters)
The Tanzanian soldiers burst into the water utility in Dar es Salaam last month and demanded to be shown the main distribution taps. When the...
Jukwaa la Siasa Tanzania (Tz Politics Forum)
Tanzania & The World Politics General Discussion Forum. Click above to get connected! You need to be registered in order to post
kwa sababu SIASA...
Leo ebu tulimulike ili shirika la Tazara.
Am told kuna urasimu wa kusafirisha mizigo ya Tanzania such that behewa zaweza toka tupu toka DSM kwenda New Kapiri Mposhi more than 1000 km
Ukiuliza...
WIto huu usitafsiriwe kuwa sign ya ku-give up mapambano ya kutafuta haki instead it is calling for an action.
Takriban kila wiki,kama si kila siku,mwana-JF mmoja au mwingine anamwaga habari...
Miongoni mwa jamii ambazo mawazo yake ni rahisi kutambulika na kufunikwa ni jamii za kitanzania , kutokana na uzoefu nilionao katika kusoma hoja na mada zingine nyingi za watanzania sehemu nyingi...
Mapolisi barabarani siwaelewi,hasa MIKUMI wamezidi! Magari makubwa wakisimamisha huenda moja kwa moja kwa mlango wa dereva nakuufungua! Basi utaona dereva kanyosha mkono na askari anapokea KITU na...
World Bank draws fresh clout through TASAF
2008-03-17 09:03:17
By Perege Gumbo
The World Bank has mentioned Tanzania Social Action Fund (TASAF) initiative as proof that its community-driven...
French voters deliver stinging verdict on Sarkozy's first year·
. President's party suffers losses in local elections
· Socialists celebrate, but fail to claim Marseille prize
Alasdair...
Kama huu ndio utendaji wa serikali ya JK, sijui hiyo kasi mpya alikuwa anamaanisha kitu gani. Nilidhani cabinet ingekuwa inakutana kila wiki but it seems JK huo muda hana. Tutafika kweli...
Nigerian deals 'wasted billions'
BBC News Online
Olusegun Obasanjo is still influential in Nigeria's ruling party
Some $2.2bn-worth of Nigerian energy contracts were awarded without a...
Ndugu Watanzania napenda kutoa maoni yangu ambayo kwa namna moja au nyingine, nimekuwa nikiumia sana tena sana kwa mambo ambayo yanatokea Tanzania
Katika Hospitali zetu tumekuwa na matatatizo...
2008-03-15 08:54:40
Na Dunstan Bahai
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu, amesema thamani ya Shilingi imepanda kutokana na benki hiyo kujitahidi kudhibiti mfumuko wa...
Mwema alitishia sana kwamba ana orodha ya "wazungu wa unga", na kudai kwamba karibu ataitoa hadharani bila kujali vyeo vyao. Nikajiuliza kwani mkuu wa polisi akiwa na orodha ya wahalifu anatoa...
Nimekuwa nikijiuliza kuwa huko bungeni huwa kuna nini kinachowafutia wa watanzania wengi wapende kuwa wawakilishi wa wananchi/wabunge??????Unakuta mtu alikuwa Mkurugenzi wa shirika kubwa,au...