Leo tulimulike shirika la TAZARA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo tulimulike shirika la TAZARA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Mar 17, 2008.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Leo ebu tulimulike ili shirika la Tazara.
  Am told kuna urasimu wa kusafirisha mizigo ya Tanzania such that behewa zaweza toka tupu toka DSM kwenda New Kapiri Mposhi more than 1000 km
  Ukiuliza zafuata mizigo ya wazambia kuja DSM meanwhile wakiwa wameiacha mizigo ya Watanzania DSM ambayo ingeweza pakiwa kwenda Kapiri thus ensuring full fleet utilization.
  Am told tani moja toka DSM kwenda Kapiri ni dola 4,600 while toka Kapiri kwenda DSM ni dola 2,300.Ukiuliza GM ni Mzambia na ata bwana Masoko ni wa kwao.

  Naiomba wizara husika ifuatilie ilo suala huwa nakerwa watanzania kuonwa vimeo ktk kila kitu.

  Ninachojua hii reli ni ushirikiano wan chi mbili na kwa manufaa ya nchi Mbili na si vinginevyo.Thus bila business ifuate misingi ya biashara sio eti mimi watz ooh mimi mzambia.Inaingia akilini kuvuta hehewa tupu 60 toka DSM kwenda Zambia tupu uku ukiwa umeiacha mizigo DSM mbaya zaidi wachoma mafuta this is more than a loss it should rather be called a sabotage.

  Vile vile nasikia kupata mabehewa ya mizigo ni mpaka uhonge,why?

  Mwenye info zaidi anaweza kuweka apa tuondokane na mambo ambayo yako ndani ya uwezo wetu kuyatatua
   
 2. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tani moja kwenda kapili ni $4600 si kweli. Tani moja ni $100 tu. Tani 30 ambazo zinabebwa na malori mengi ni $3000.
  Container ya 20ft kwenye treni inaruhusiwa kuwa na uzito ambao mwisho ni tani 35. Na 40ft uzito mwisho uwe tani 50. Kama hesabu zako ni kweli ina maana kusafirisha 40ft wazambia wanalipa $230,000 kwenye usafiri tu?
   
Loading...