Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,178
- 876
WIto huu usitafsiriwe kuwa sign ya ku-give up mapambano ya kutafuta haki instead it is calling for an action.
Takriban kila wiki,kama si kila siku,mwana-JF mmoja au mwingine anamwaga habari zinazothibitisha kuwa kelele zetu dhidi ya wanaofilisi taifa zetu zinapuuzwa.Nasema zinapuuzwa kwa vile nina hakika kuwa wahusika wanazisoma,aidha wao wenyewe au wapambe wao,lakini nadhani wanaishia kutudharau kwa kusema "watapiga kelele wee mwishowe watanyamaza" au "waache waendelee kupiga kelele sie tunazidi kula kuku kwa mrija".They might be wrong katika hilo la JF kunyamaza but could be right katika hilo la sie kuendelea na makelele tu wakati wao wanaendeleza unyama wao.
Hivi karibuni,JF ilipata blessing in disguise,baada ya mafisadi kujaribu kuidhibiti whiche eventually led to this forum receiving international recognition.Sasa kwanini tusiitumie hiyo reputation yetu ya kimataifa kufanya kitu cha maana zaidi sambamba na kupiga makelele?JF sasa hivi ni zaidi ya pressure group au civil organization.Je tukiamua kuandika barua kwa taasisi kadha wa kadha eg donors wa nchi yetu,US Congress,House of Commons,international media na taasisi nyingine zinazoweza kuwabana wale wenye uwezo wa kuwakaba koo mafisadi wetu,hatuwezi kuleta mabadiliko makubwa zaidi?
Sijui niite ni petition or what lakini ninachoamini ni kwamba jitihada za namna hiyo,zikiambatana na lundo la mikataba mibovu na skendo lukuki tulizokwishazikusanya,zinaweza kuzaa matunda in the long run.
Mwenye mawazo yanayoweza ku-refine proposal yangu anakaribishwa.Actions speak louder than workds,and together we can bring the desired changes.