Mafisadi Wa Sisiem Juu Ya Ardhi Ya Butiama; Nini Itakuwa Reaction Ya Mzimu Wa Nyerere

canaan

Member
Mar 1, 2008
46
6
Ndugu wana JF mwishoni mwa mwezi huu, kutakuwa na tukio moja la ajabu litakalo tokea kwenye ardhi alimo lala baba wa taifa.
Jaribu kufikiri mkusanyika wa mafisadi watu wanaonuka kama hawa
Anderea chenga, Rostitamu zaiza, basal shilingimbili, nadhiri karamaharage, edii lowahasa, nawengine wengi wakiwa juu ya mzimu wa baba wa taifa kwenye kikao cha NEC, nini reaction ya mzimu huo? au ndiyo mwisho wa CCM unawadia? naomba mchango wenu wana JF
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom