Ni RUSHWA,UFISADI au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni RUSHWA,UFISADI au?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Konzogwe, Mar 17, 2008.

 1. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mapolisi barabarani siwaelewi,hasa MIKUMI wamezidi! Magari makubwa wakisimamisha huenda moja kwa moja kwa mlango wa dereva nakuufungua! Basi utaona dereva kanyosha mkono na askari anapokea KITU na hupeleka mfukoni. There after gari linaruhusiwa bila checking yoyote. I've a certain duty ambayo hunifanya kusimama pale na kujionea,kama unabisha go and observe. Sasa hii ni halali? Na kama si halali tuiteje basi? If is corruption,do PCCB aware with it?...yeah! let you jot anything you grasp.
   
 2. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2008
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Hapana hiyo si halali konzogwe na ndio tatizo letu kubwa sana watanzania. "wewe ni dereva makini na una uhakika huna makosa yeyote barabarani kwanini utoe rushwa?", mi naona madereva wenyewe wanawalea hawa viumbe (matrafik) ukizingatia ya kwamba sheria zipo kama amekukamata na unahisi huna kosa mwambie twende kituoni na si kunyoosha mkono ni kupalilia "takrima" hiyo.

  Na nina imani dhabit kabisa kwamba askari huyo endapo amekukamata na umemdindishia kwamba hapa leo hakuna kitu ukitaka twende kituoni kama unahisi nina makosa, basiiiiiii hakuna swali ni wazi atakuachilia.

  "Tuweni na msimamo haki hainunuliwi"
   
Loading...