Katika miaka ya karibuni Tekinologia ya habari na mawasiliano imekuwa kwa kasi sana kukua huko kumewezesha watanzania wengi kujiunga na forums au mitandao mengine mingi tu kwa ajili ya kutoa...
Katika pita pita zangu kwenye mtandao nikakutana na forum hii http://www.stockskenya.com/newsite/stkForumTopic.aspx?stk=0&top=14228 ambapo wenzetu wa Kenya wanafukuzia kununua hisa za CRDB but...
Hivi kwenye hospitali zetu hamna haya mambo? Wandugu, hasa waanga wa haya mambo.. sheria hipo inayowalinda!! shambulio la aibu(indiscent assault)
Doctor 'massaged woman's breasts'
A...
Je Mengi alifanya kosa kuwataja mafisadi? Serikali imetamka wazi kuwa Mheshimiwa Reginald Mengi alifanya makosa kuwataja mafisadi hadharani kwani wengi wao matatizo yao yapo mahakamani. Mengi hana...
Jana nilikuwa na discuss this with one of my best buddy about this so called mafisadi and stuff right!...
Nikakaa na nikafiria sana nikasema he is very right!...kama hapa jf nimesoma...
Jamani Hawa Ma-Engineer wetu vipi ???? Mifereji ya kupitisha maji imejengwa hovyo kwa kiwango ambacho hata mtoto mdogo hakubali, Sio muda mrefu barabara itabomoka kwa mvua.
Jee ni kweli mifereji...
2009-04-27 15:04:00
RPC tells taxi drivers to arm themselves
By Khamis Saidi, Arusha
THE CITIZEN
The Kilimanjaro regional police commander Lucas Ng'hoboko has suggested that taxi...
Kuna fununu kuwa Wazanzibari hawatasheherekea Siku kuu ya Muungano na watakaoshiriki ni kuwaziba macho WaTanganyika ilihali ndani ya nyoyo zao si washiriki.
Umoja wa Wazalendo, unachukuwa...
Jamani, mtoto aliyepigwa na baba yake kule Musoma hadi kufa kwasababu ameiba mayai ya shs.300, ni kitendo cha ajabu. wengi wamerespond kwenye hii kitu kuwa, ni kwasababu wakurya ndio tabia yao...
Samahanini kwa wale walevi..opsss samahani wale wanaosema tusiwaite walevi ila tuwaite wanywaji.
Inaaminika kuwa, asilimia tisini ya watu wale wanaokunywa sana, yaani chapombez, wanaokunywa...
Habari nilizozipata nikiwa hapa Mara ni kwamba huko Tarime koo mbili zimeanza tena vita vya kugombea ardhi. Tayari damu imeanza kuwamwagika kwa watu kuchomana mikuki, mishale na kukatana mapanga...
Abstinence Seen as Key to AIDS Fight in Africa
Boston, May. 9, 2008 (CWNews.com) - Efforts to curb the AIDS epidemic in Africa should concentrate on promoting sexual restraint, a team of Harvard...
This is a "Persistence Hunt" of a Male Kudu, by tribesman of the San on the Kalahari Desert of Africa. Thoroughly blew my mind! This.....this is hunting. An almost transcendental means of...
Mkuu wa Magereza Mwanza matatani
Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Magereza Mkoa wa Mwanza Kamishna Msaidizi Mwandamizi Ahmed Kopwe, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumdanganya Kamishna Mkuu wa...
Mkuu kova kwanza napenda kukupongeza kwa kusoma nyakati hao masebe uliowakamata ni cha mtoto kuna hii inajiita powerclub ////iko famous sana arusha na dar ,mbeya na kwingineko...unatoa laki...
Ndugu,
Tafadhali soma hizo nukuu za waheshimiwa wabunge wa Bunge letu tukufu, halafu wasilisha maoni yako.
wasalaam.
NUKUU KUTOKA MKUTANO WA WABUNGE NA ASASI ZA KIRAIA (AZAKi)
Mahali...
Mbegu DECI sasa kung'olewa kwa malipo
Friday, 24 April 2009 16:19
Na Edmund Mihale
KAMPUNI Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) imezua biashara nyingine ya...
Wakuu,
Najua kuna shule nyingi kwa hapa Tanzania. Kwa kuangalia matokeo tu naweza kuchanganya madawa.
Ninachotaka kujua, ni shule gani ina
walimu walio committed,
mandhari nzuri ya kufundishia...