Asilimia 90% ya "walevi wa kupindukiwa" wamelawitiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asilimia 90% ya "walevi wa kupindukiwa" wamelawitiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ubungoubungo, Oct 8, 2008.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2008
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Samahanini kwa wale walevi..opsss samahani wale wanaosema tusiwaite walevi ila tuwaite wanywaji.

  Inaaminika kuwa, asilimia tisini ya watu wale wanaokunywa sana, yaani chapombez, wanaokunywa hadi wanashindwa kutembea au wanalewa chakali, wale ambao wako adicted(ambao tunao wengi hapa tz),wameshawahi kufanywa vibaya na wanaume wenzao,bila kujipendea, na wenyewe wamelitambua hilo, ila huwa wanashindwa kusolve iyo problem, kwasababu kuacha pombe kwao ni ngumu(becuase they are addicted to it), hivyo ndo wanaishi maisha kama hayo. wakiendelea, hujikuta wanakuwa mashoga. kwani, inasemekana kuna mashoga wengi tu hapa tz ambao wana watoto na wako kwenye ndoa.

  mimi mwenyewe mwezi uliopita mtaani kwetu kuna Dalali mmoja hivi ana mke na watoto, alidalalisha nyumba, akapata cha juu zaidi ya milioni hivi, aisee, alienda nazo zote kunywa pombe,akalewa chakali, wahuni wakamnyang'anya pesa, wakaona haitoshi, wakamfanya na vibaya(kwasabu he's helpless,na fisi kakuta mfupa barabarani,hawezikuuacha ati). sehemu nyingi tu tumeshuhudi walevi wakiwa wamefanywa vibaya. na hii ni asilimia kubwa ya watu wanaopenda kushinda baa. mimi huwa sinywi pombe, huwa siendi baa,niko home kuwapikia watoto wangu. hivi kama kuna mlevi au mnywaji humu,au mtu asiyetumia kileo, anaweza akatuambia mawazo yake kuhusu hili.
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,981
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Can mods close this or send to udaku...
   
 3. Mtimti

  Mtimti JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2008
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 899
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  kaka mbona unawahi kusema ifungwe au ipelekwe kwenye udako?..kwi kwi kwi....hii kitu ni ya kweli kabisa ingawa kwenye suala la asilimia namwachia mwenyewe,lakini walevi wengi wa kupindukia nnaowajua mimi tayari wamefanyiwa kitu mbaya,na ushahidi ni mshkaji mmoja ambaye nilikuwa nakaa nae mtaa mmoja,alianza kama maskhara lakini sasa hivi nasikia anawatafuta mwenyewe wanaume wamfanyie hiyo shughuli,na mwingine alikuwa kuli pale bandarini,niliambiwa kuwa jamaa huwa anajilewesha makusudi ili wenzie wamfanyie kitu mbaya,baada ya kuuliza kwanini anafanya hivyo nikaambiwa kuwa kwanza alikuwa hana tabia hiyo lakini baada ya jamaa kuwa wanamrukia baada ya kuwa amelewa basi akajikuta ndio yupo katika hali hiyo hivyo akijisikia anakunywa pombe kisha anajiangusha wazee wa shughuli wanafanya vitu vyao
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,742
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hayo hua yanatokea lakini sio kwa asilimia ulizotoa,90%? huu uchunguzi uliufanyaje au nawe ulilewa sana siku 1? This is hearsay straight to Udaku.
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Tafiti nyingine bwana.....mzee sample size? Statistical analysis? Confindence interval?....Mod ipeleke mahali pake hii tafadhali UDAKU
   
 6. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mwanzisha mada lazima anakaa Uswahilini...kwa walevi wa pombe mavi na vibaka uchwara!!!
   
 7. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2008
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,487
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tafadhali kafanye tena utafiti wako. Hakuna cha ukweli ulichoongea bali ni 100% UDAKU ama USONGOMBWINGO.
   
 8. m

  mussy New Member

  #8
  Oct 8, 2008
  Joined: Sep 1, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  He kumbe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2008
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomab maana ya neno hili kama lilivyoandikwa na mimi naliandika na kutakakulipatia maana yake Chakali
   
 10. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kumbe ndio sababu. Tafuta mbinu nyingine ya kuwashawishi watu waache pombe watakusikia, lakini kwa hii wengi wataona umenuia kuwatukana tu!
   
 11. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2008
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,104
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Du! afadhali umesema manake wenyewe hawawezi sema, wasi wasi wangu ni asilimia siju kwa tafiti gani lakini nina kubaliana na wewe kwamba walevi kupindukia wanafanyiwa kitu mbaya.

  Kama mtu anataka kufanya tafiti aende maeneo ya soko la kariakoo (kariakoo wanalala watu wengi nje, wabeba mizigo na wasio na pakwenda) jamaa ndio mchezo wao mmoja wao akilewa wanae. binafsi nimeshashuhudia mara mbili nikiwa napita mitaa hiyo kama muda kidogo umepita. Uwezi amini na wengine wamekuwa mashoga kabisa.

  Kingine labda mtoa hoja angeongeza na mateja, na angelekibisha takwimu na eneo alilofanyia tafiti yake ingekuwa poa manake ukizungumza kijumlajimla unawakwaza na wasio stahili.
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Oct 9, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,339
  Likes Received: 1,694
  Trophy Points: 280
  ..kuna baadhi ya walevi wanafanyiwa hivyo ..lakini sampling ya huu utafiti ina walakini ...maana lazima ingetakiwa igusie...age,races,area,socioeconomical status,etc...mfano mlevi mwenye gari akizidisha ..atagonga [atakufa au ataumia],mlevi anayeishi maeneo first class hata kama atatembea kwa miguu kwenda nyumbani....si rahisi kumegwa..

  mlevi anayeishi maeneo ya kati au yale duni ..ndio mara nyingi amabao hubakwa....hilo nimeliona..kwa wengi...

  pia kuna walevi ambao utawasikia wakijipa moyo....""..aah nilianguka nikawa sijitambui...kama wamefi.. shauri yao wamefi... pombe!!"
   
 13. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  hii asilimia ya walevi kurukishwa ukuta sina uhakika,lakini hizi story ni nyingi tu,underground dar es salaam,no one is sure lakini ask anybody with an ear to the ground atakwambia kwamba somebody M aliwahi nasa kwenye mtego huu,au mfanya biashara maarufu K------ alijiua baada ya kukutwa na mambo haya.no one is sure lakini si unajua tena word of mouth DSM inaenea sana
   
 14. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2008
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  jamani, wale wanaopenda kutumia kileo, naomba msinishambulie. najua kinauma kwasababu yale maji mnayapenda sana. lakini habarindo hiyo. Cha kwanza, naomba jaribuni kusoma vizuri kichwa cha habari, ndo maana nimefungia maneno"walevi wa kupindukia", hivyo sio wote. hata kama anakaa masaki, kwani akiwa amepindukia hiyo nguvu ya kuendesha gari ataipata wapi?hata kama ana dereva, kuna siku tu atanasa. hii tafiti ni ya kweli, nimesema wakupindukia, sio wale wa kidogo. wewe unaesema nipeleke kwenye udaku, samahani kama nimekutachi....
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Walevi endeleeni kulewa na mtalawitiwa tu.
  Juzi tu nimekosa kumgonga ndugu yangu kwa gari baada ya kukuta kalala katikati ya barabara tena kwenye kona. Nilifungia breki kwenye kichwa chake.
   
 16. Kidzogolae

  Kidzogolae Senior Member

  #16
  Oct 10, 2008
  Joined: Apr 20, 2008
  Messages: 134
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tafadhali bwana, watakurukia sasahivi, wengine wamejiandikisha kabisa, kwa wiki lazima wakate laki tano kwa pombe, mshahara wake ndo kama huo. duh!
   
 17. M

  Masatu JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,286
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli JF kuna mambo....
   
 18. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mwenye mume mlevi ajifundishe kupiga punch tu .. akilewa wewe unafanya kazi ya kumchomolea hela zote ... kila siku unamwibia mpaka anakoma .. unamwachia mia mbili ya nauli tu mfukoni ... nawahurumia wenzangu maana harufu tu mbu wote ... dead!!!
   
 19. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  naimaomari,sasa kama hizo bia,mumeo anafanya kunwyeshwa na watu,sasa utamchomolea nini,maana mfuko kaputi,itabidi uvumilie tu,na siku zingine kikimpanda anakudunda,na wewe kwa sababu ni mke mtiifu unampa shavu lingine amalize kabisa- hayo ndio mapenzi
   
 20. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inaaminika kuwa, asilimia tisini ya watu wale wanaokunywa sana

  Kumbe inaamika!Tafuta Data zitakazotuonesha kuwa 'imethibitishwa".What you are saying is possible but I dont think its up to that extent
   
Loading...