Kova;metropolitan,power club hizi ""deci""nyingine kamata

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Mkuu kova kwanza napenda kukupongeza kwa kusoma nyakati hao masebe uliowakamata ni cha mtoto kuna hii inajiita powerclub ////iko famous sana arusha na dar ,mbeya na kwingineko...unatoa laki 280,000 alafu unatafuta watu 5 nao wakipatikana ndipo unaingiziwa hela kwenye acc......kamateni viongozi wake tumesikia inaongozwa na mbunge mmoja wa CCM arusha msiangalie vyeo wala jina......

wengine wanajiita metropolitan hawa na o kasheshe nyingine;;sidhani mkulo anaitaji kusikia watu wandio apige kelele kama tunawatiolea mifano wakishindwa kuwakamata wasipige kelele siku za mwisho......./.

tuwen makaini wananchi na mteremko kweli tunapenda pesa lakini tuangalie kwa makini matapeli wa dunia wamevamia tanzania
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom