The False Hope of Condoms

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Apr 22, 2006
2,554
1,382
Abstinence Seen as Key to AIDS Fight in Africa

Boston, May. 9, 2008 (CWNews.com) - Efforts to curb the AIDS epidemic in Africa should concentrate on promoting sexual restraint, a team of Harvard researchers has concluded, after finding that condom-distribution campaigns have not significantly reduced the spread of the disease.
"We need a fairly dramatic shift in priorities, not just a minor tweaking," said Dr. Daniel Halperin, who led the research team from the Harvard School of Public Health. The group's report in Science magazine found that male circumcision had a dramatic effect in curtailing the transfer of the HIV virus. But efforts to promote condom use did not affect the spread of AIDS in Africa.
The Harvard study focused on 9 African countries where the AIDS epidemic has been most devastating; in these countries more than 12% of the adult population is HIV-positive.
The researchers found that programs designed to discourage sexual promiscuity had a strong positive impact in several countries. The most successful program was in Uganda, where a government-backed campaign produced a reported 50% drop in the number of people reporting multiple sexual partners. Similar programs led to a reduction in the rate of HIV infection in Kenya, Zimbabwe, Ethiopia, Malawi, and Ivory Coast as well.
============
Hii habari inapatikana hapa:
http://www.ewtn.com/vnews/getstory.asp?number=88372
 
wakuu, huu ni ukweli uliosaidia kuangamiza vijana wengi Africa. wako watu wengi, kule mbagala na pugu kwa mfano, wanaamini, kuwa na condom tu kunatosha kuwafanya salama sana, poor them. imagine, watoto chini ya miaka 14 hivi wamekuwa wanaamini upotoshwaji huu. wanaziamini condoms kuliko wanavyoamini kuwepo kwa ukimwi wenyewe. zile campu za vijana kule dar, zinakwenda sambamba na kuwepo kwa condom za kutosha kuwakinga vijana, tizama hiyo. african researchers wamekuwa nanatofautiana sana juu ya ukweli kuhusu, condom. then there is the issue of bussiness za watu na siasa ofcouse. Ukimwi umeshika pabaya bara letu. liko swala la size na expire date za condo'kumbuka nyingi ni za msaada na za dili', haya yote yamekaa vibaya sana kwa watoto wetu. kuwa jasiri kidogo, tazama tendo lenyewe la ndoa na uone muingiliano wa kibaiologia unaokuwepo, tazama lojistics involved, from one round to the next. ni wangapi watakwenda bafuni kunawa na kuosha maungo kabla ya kuvaa condom mpya ili asiiambikize? maji nayo yanapatikana sehemu zote tunazofanuyia mambo yaha? vipi afya ya ngozi zetu wakati ule tunapokutana wakati mwingine na watu tuliowajua siku hiyo hiyo?
 
Hii ni kweli na very sensitive issue in africa.Ingawa sina uhakika sana na research hii..or inawezekana wamejumuisha na kutaja jina moja la africa.

Ila africa ina nchi zaidi ya hamsini so kwa nchi tisa kujumuisha hainishawishi sana kuwa ni africa yote.Kwa mfano wakati compain ya kupima ukimwi tanzania ilipoanza mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu..tanzania ilikuwa inasemekana kiwango cha maambukizi kilikuwa ni asilimia 14+ sasa baada ya watu kijitokeza na kuanza kupima,majumuisho yamekuja kutoka kwamba maambukizo ni chini ya asilimia -14.

Hii inaonyesha kwa kiwango flani tanzania nao wazinduka kama wenzetu uganda ambao walihubiri sana mambo ya condom wakiambatanisha na kuwa na mpenzi mmoja,uaminifu.
 
Ebwana sure, hii inabidi iwe kama nyimbo kwa wabongo maana yaani watu wanaaminishwa condom towarda AIDS kuliko hata namna ya kuitumia hiyo condom. Mimi nadhanii condomu inazuia mimba ila kusema kuwa kondom inazuiwa ukimwi! hii naiona kama vile biashara fulani hivi, la sivyo nitaiweka katika kundi la ufisadi-utu!!


Hawa jamaa hawatupendi hata kidogo, na lengo lao ni kutumaliza ili kuja kushika kila kitu hapa Bongo!!
 
Ndugu zanguni Tuamke, Afrika inaangamia ndugu zanguni. iwapo hatutaamua kuchukua maamuzi magumu ya kutokomeza janga hili tukaamua kuishi katika comfort zone ya kutumai condom kama njia rasmi au silaha kuu dhidi ya ukimwi , basi itakuwa ni vigumu kulishinda janga hili.

ni lazima juhudi zilenge nyanja zote za jamii, zilenge mtu mmoja mmoja, zilenge familia,koo,kata,tarafa,wilaya mkoa mpaka taifa.

ni lazima tudefine value mpya katika jamii yetu ,ngono si sifa wala si muhimu kama ngono inapelekea katika kifo. sasa tufanyeje?

1:Tumeona nchi kama China walivyoamua kuchukua uamuzi mzito wa kila familia kuwa na mtoto mmoja kwa watu wa kabila la Han ambao ni majority.hii waliamua baada ya kuona kwamba resources zilizopo hazitawatosha iwapo watazaliana wengi, kwa nini na sisi tusiwe na utaratibu kama huo katika suala la mahusiano, kwamba ndoa iwe ndiyo sehemu ya kipekee ambayo masuala yote ya unyumba ndo yanapatikana?. na hili inabidi liwekwe wazi kabisa kwamba lengo la kufanya hivi ni nia njema ya kupambana, kupambana na Ukimwi, kwamba Watu wakubali kupoteza uhuru wao wa kuwa na wapenzi wengi(katika mtindo wa mahusiano nje ya ndoa), au kuwa na mpenzi nje ya ndoa ili kupambana na ukimwi.
na kwamba jamii ihimize ndoa, kwa wale wanaotaka wapenzi wahimizwe kujitangaza katika vyombo vya habari, then wakipata wanaowapenda wanafunga ndoa.kwa nini napendelea ndoa?. kwa sababu hii ni taasisi ambayo iko reliable kucontrol mahusiano, na pia ni taasisi kongwe ambayo jamii iko familiar nayo toka enzi na enzi, ni suala la kuenforce tu basi mambo yanaenda sawa kama ilivyokuwa enzi za mababu zetu.

2:vyombo vya habari vibadirike, ngono nje ya ndoa itangazwe very negatively, ionekane kama mtu anayerudisha nyuma mapambano dhidi ya ukimwi, kwamba ionekane kufanya ngono nje ya ndoa ni kukwamisha juhudi za jamii kupambana ili kujiokoa isiangamie.

3:ndugu zanguni hatuwezi kuendelea kuafford luxury hii ya mahusiano ya kingono katika mtindo ambao wengi wanaenda nao kwa sasa. kama hatutafumbua macho yetu na kuangaza,tena kuangaza kwa makini Waafrika wanapotea katika uso wa dunia.
 
2:vyombo vya habari vibadirike, ngono nje ya ndoa itangazwe very negatively, ionekane kama mtu anayerudisha nyuma mapambano dhidi ya ukimwi, kwamba ionekane kufanya ngono nje ya ndoa ni kukwamisha juhudi za jamii kupambana ili kujiokoa isiangamie.

3:ndugu zanguni hatuwezi kuendelea kuafford luxury hii ya mahusiano ya kingono katika mtindo ambao wengi wanaenda nao kwa sasa. kama hatutafumbua macho yetu na kuangaza,tena kuangaza kwa makini Waafrika wanapotea katika uso wa dunia.



Naafiki ulichosema mkuu.

Kuelekeza matumizi ya Condom tulikosea. Swala ambalo nakubaliana nalo ni msisitizo kuelekeza watu kwenda kupimwa.

Swala jingine ambalo waTanzania tuna bahati mbaya nalo ni tabia yetu iliyojengeka ya kutothubuti kusema pale unapomwona rafiki au jirani ameanza affair. Kuna nchi za ulaya (sio zote) ambapo mtu asiye mwaminifu kwa mpenzi wake anatengwa na marafiki - maana huyu ni msaliti.
Kwetu hapa mtu anakuwa na nyumba ndogo au ma-girlfriend watatu lakini rafiki zake watawaficha hawa mabinti watatu hata wasijue jamaa anafanya shuffling.
This is very unfortunate!



.
 
wakubwa nimekubali. swala hili litaendelea kuwa fisadi mpaka itakapopatikana namna ya kuwashawishi vijana, hasa hawa wa shule za msingi na sekondai, wasiiabudu condom, wanafundiswa na kugawiwa kondomu kila mara, yule amabye hajaanza, akipewa condom, kweli anachanganyikiwa kabisa, tukumbuke elimu zetu, wale wanaotoa, waliowengi kwa maana hii, wanafanya dili tu. anafukia mashimo atimize wajibu, kisha anasign hivyo. sina hakika na taaluma zao. mimi niumepata kuhudhuria seminar kadhaa za ukimwi, nasikitika nyingi ziko na upotoswaji wa hali ya ju. watoa mada wanawachanganya watu sana, WALISEMA ZAMANI ZILE, HALF KNOWLEDGE IS POISONOUS. NI AFADHALI USIJUE KABISA KULIKO KUJUA KIDOGO KULIKOPOTOSWA NA AMBBAKO HAKUAMBATANI NA TAFITI ZA KUTOSHA. WATU WANAAMINI KUWA NA CONDOM TUU, KUNATOSHA KUUMALIZA UKIMWI, POOR US.
 
Abstinence Seen as Key to AIDS Fight in Africa
I dont think there should be a key way of fighting HIV without a vaccine. Different strategies should be applied. Abstinance is only possible for certain ages, but for majority (ambao walishaonja tunda!) abstinance is impractical and at a population level can not reduce HIV transmission. Of course you know that even in your heart! How long can you abstain?

I think, the ABC's message should be supported.
1. Abstinance
2. Being faithful to one, uninfected partner
3. Use of condoms (if 1 and 2 are not applicable to you)

Boston, May. 9, 2008 (CWNews.com) - Efforts to curb the AIDS epidemic in Africa should concentrate on promoting sexual restraint, a team of Harvard researchers has concluded, after finding that condom-distribution campaigns have not significantly reduced the spread of the disease.
CWNews.com = catholic world news, from the stand-point of the church, what do you expect CWNews.com to say? You should think twice!

But efforts to promote condom use did not affect the spread of AIDS in Africa.
I am not sure it is possible to separate the effect of condoms from the rest of the strategies. The ABC's are often 'preached' together, I don't know how they can come-up and say with confidence that this is the effect of abstinance not condom! In Uganda for example, a lot of strategies were used including condom use promotion.
Where were these findings published? Apart from the website you have just given us, if you know, please inform us.
 
Last edited:
Ebwana sure, hii inabidi iwe kama nyimbo kwa wabongo maana yaani watu wanaaminishwa condom towarda AIDS kuliko hata namna ya kuitumia hiyo condom. Mimi nadhanii condomu inazuia mimba ila kusema kuwa kondom inazuiwa ukimwi! hii naiona kama vile biashara fulani hivi, la sivyo nitaiweka katika kundi la ufisadi-utu!!
Hawa jamaa hawatupendi hata kidogo, na lengo lao ni kutumaliza ili kuja kushika kila kitu hapa Bongo!!

Je, unaamini kuwa condom yaweza kuzuia magonjwa ya zinaa kama Gonorrhea na Kaswende?
 
A usual people taking bits and pieces from a scientific study to suit their own agenda.
"
Halperin said he and his colleagues discovered that regular sex partners rarely use condoms, and abstinence merely delays HIV infection among young people by one or two years. For example, condom use in Ghana and Senegal seems to have helped in the reduction of the spread of the HIV, which in those countries is particularly prevalent among commercial sex workers and their partners. However, condom use in South Africa and Botswana has had little effect in reducing those countries' HIV epidemics -- which have reached the general population -- because regular sex partners rarely use condoms consistently."

The problem is not that condoms don't work, its that people don't use them consistently.
 
Huuu ni ukweli usiopingika. Tatizo ni kuwa HIV ishakuwa economic issue rather than health issue in several ways. Wengi wanaopromote condoms in Africa (NGO's) zinaendesha campaign as a business opportunity, do you expect them to give reliable report while they know for sure it will impact funding of the same?
 
Back
Top Bottom