My two cents | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My two cents

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Binti Maringo, Apr 23, 2009.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jana nilikuwa na discuss this with one of my best buddy about this so called mafisadi and stuff right!...…
  Nikakaa na nikafiria sana nikasema he is very right!...kama hapa jf nimesoma comment/contribution za watu wengi sana akina sijui mwanakijiji huko sijui akina mchukia fisadi ,Invisible and you and you and you…just to name the few (mifano)…you know tunalalamika kuhusu mafisaid this mafisadi that come to think about this righthata wewe ungekuwa kwenye upenyo kama waliokuwa nao akina rostam sijui Lowassa,Johnson Lukaza Mponjili trust me you would have done the same shit…I swear to my own grave I don’t lie and if I lie god is a fool…. if given that opportunity kama za akina Lowassa sijui dr ponjo hahaha me as Kelly01 hahahaha lazima na mimi ningefanyizia I don’t lie..pesa tamu bwana kama mtu hataki fwedha then msingehangaika kudamka asubuhi na kwenda kazini ili uweze kulipwa mshahara na kuwez akulipia bills zako actual kupata mahitaji yao ya lazima chakula,mavazi na pa kuishi….
  And my point is mnapiga kelele za bure tuu…as long as you work and do what you are suppose to do that’s all matters..lets rostam be rostam etc na sheria itamshughulikia kama kumuweka behind bars au kunyongwa kama Saadam Hussein.
  Peace!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Apr 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Speechless!!!!!!!
   
 3. Al-Watan

  Al-Watan JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,563
  Likes Received: 13,332
  Trophy Points: 280
  Astaghfirullah, astaghfirullah, astaghfirullah!

  Mswalie mtume!
   
 4. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Yesu mwana wa Maria...!!!
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Duh.... This is amazing

  Hongera kwa kuwa mkweli maana wengi wetu ni wanafiki... lakini nadhani ungekuwa smart zaidi na ungepunguza greediness ya Lowassa type wao wanabwiya tu na kunyang'anya walizonazo maskini

  sidhani kama ungeenda that low ya ku-rob poor!! nadhani ungetumia perfomance based reward system --- yote ni ufisadi anyway

  As long as hatuko kwenye ujamaa, ufisadi utaendelea kuwepo kwasababu ni agenda ya capitalism
   
 6. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Kelly, mimi naafi ulosema fedha ni fedheha usipokuwa mwangalifu.Fedha zilimfedhehesha Yuda(kwa wanaomjua yuda aliyemsaliti Yesu).hata mimi nikipata nafasi nitaitumia ipasavyo. Sisi tunachopigia kelele ni usaliti wa waheshimiwa hawa basi wawe wakweli kama wewe wanapotuomba kula watweleze kuwa wanaomba kula ili wakatuibie,lakini wanapotuibia kwa hila za tutufanya wapumbavu ndo hapo tunapopiga kelele.
  Na zaidi ya hayo tunapigia kelele vyombo vyetu vilivyopewa dhamana ya kutoa haki kwani haki haitolewi bali inanunuliwa kwa hiyo Rostam na wenzie hakuna siku watapata haki bali watainunua maana wanauwezo.
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  MT and Kahinda i feel you...but so far i stand true to myself na wala sifungamani na upande wowote i am lefty....

  Kahinda you are right kuibia walal hoi ni dhambi inabid kusaidia kima cha chini....ila i am sure sheria itafanya kazi yake...But hey i need to know vyanzo na njia z akufika huko kwenye mlo ni how?
   
 8. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280

  I beg to differ.

  Hivi unafikiri huko ulaya au US uliko (kama uko huko)..watu wangekuwa wanafikiria kwa mtizamo huu.. wangekuwa wapi? Dunia hii ina changamoto. Inahitaji uvumilivu na sacrifice. Kama generation yetu inafikiria kama wewe..basi we are condemned to be beggars and poor for thousands of years to come. Tanzania sheria zipo lakizi ni dhidi ya wanyonge. Na mabadiliko yataletwa na sisi. Hivi Nyerere alipoteuliwa kuwa waziri mkuu na wakoloni..angekuwa na mawazo kama haya..ingekuwaje? maana mzee alijiuzuru uwaziri mkuu akaenda kushika chaki Pugu...ili kupigania uhuru..si angesema mimi nimeshapata..kila mtu kivyake? Hutakuwa tofauti na yule anayesema ..heri kuishi kama nguruwe ariyeridhika kuliko binadamu mwenye njaa. Life is beyond eating and material things. Its also about dignity and self satsifaction. Hela ya wizi haiwezi kukufanya uwe na amani kama ya kutafuta kwa jasho.

  Mabadiliko na maendeleo yoyote yanahitaji watu wasiokata tamaa. People who can never take no for an answer. Ukiwa na mtizamo wako..inaonyesha unakuwa mbinafsi..kwamba you are already in a comfort zote (no pun) kwa hiyo watu wahangaike tuu..Lakini kuna millions hawakubahatika kuwa kama wewe na mimi..wanategemea consciousness ya viongozi..waweze kujikomboa.

  So naomba usiwe na mtizamo wa kukataa tamaa. You might be doing very well on a personal basis. LAKINI Binadamu tumeumbwa kuwa zaidi ya hapo. Lazima tujue what is good for our communities too. Ndo maana wazungu linapokuja swala la mali ya umma..kila mtu ana mchunga mwenzie..wewe tafuta zako uwe billionaire..lakini kodi za wananchi ziwanufaishe wote. Thats what we want in our country. Siyo huo mtizamo hasi..kwamba ukipewa nafasi na wewe utakuwa hivyo hivyo. Hayo ni mawazo ya kukataa tamaa. NA hatuyahitaji kwa sasa.
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  "Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SDD1-09."
   
 10. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  what's your reason of being spechless?.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Apr 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  No comment Cupcake.....:)
   
 12. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  umeisoma hii post dada? what "state" were u in when u were writing it? Just asking...
   
 13. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Nikishakwambia state itakusaidia nini?....aah kama ulikosa cha kusema ungeacha tuu!....
   
 14. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ok cuppy!...Its friday hureey

  Gracias a Dios es Viernes.
   
 15. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  If you were on a high (natural or induced), it would've been understandable. If not then you need to touch base with reality, i.e the Tanzanian version
   
 16. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nchi yetu haitoendelea, Kelly 01 kuna watu wengi tu wako kwenye sehemu za mahela na ni waadilifu.
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  or that is your argument?... then ungekuja na point kuliko kuanza hit around the bush....oh well it doesnt matter nilikuwa katika situation gani...as long as nime deliver msg.
   
 18. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Icadon hivi unataka kuniambia hakuna nchi ambayo haina corruption?....hapa USA kwenye kuna corruption kuliko huko bongo sema bongo watu ni wale tuu na tunajuana sana....ndiyo maana its easy kujua data za mtu.
   
 19. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Mambo vp shem,za siku mingi
   
 20. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo kwa kuwa kuna corruption US na sisi ndio tusipigane kuondoa hiyo corruption Tanzania?
  Rushwa ya Tanzania inaumiza raia wa chini ata kwenye haki yako ya msingi bado utatakiwa kutoa rushwa, niambie wewe lini uliombwa kitu kidogo US wakati say unaomba uunganishiwe umeme au unarenew ID?
   
Loading...