Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

AJALI iliyohusisha magari yapatayo saba iliyotokea katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam imesababisha vifo na majeruhi kadhaa waliokimbizwa hospitali wengine wakiwa katika hali mbaya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele, Mazee naomba tafu kwa mdau yeyote ambaye ana ufahamu kuhusu software yeyote ambayo ipo capable kutengeza video clips kutoka kwenye images files kama vile JPEG etc...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa wafugaji wetu ni muhimu sana katika kutuhakikishia kuwa tunajitosheleza kwa mazao ya mifugo kama, nyama, ngozi na maziwa. Ingekuwa ni busara zaidi kwa wizara ya mifugo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika kipindi cha Jee Tuambie kilichorushwa tarehe 05/02/09 TBC kuanzia saa 3:30 mpaka saa 4:30, mwakilishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) aliudanganya uma kwa kusema kwamba simu za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku zote wataalamu wa Tanzania wa ICT wameendelea na ngonjera zao kwamba haiwezekani kuzuia maroroso ya internet kwa vijana wetu. kwa wenzetu UAE, China, wanazuia content wasizozitaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekutana na picha kwenye mtandao (Bongo Pix) inayoonesha kuwa BOT imekutwa ikiwaka moto. Je hii habari ni kweli??
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Ask, Seek, Knock Success in Life, need the confidence in yourself. Face the life by believing that, IF you Ask; it will be given to you; IF you seek; you will find; and IF you knock...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wenye magari ambao hawapendelei kununua used spair parts kama matairi yaliyotumika na kuchongwa, na kuamua kujikamua kununua tairi mpya toka dukani, kuna haja ya kuwa makini hasa katika...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Dubious gold deals still under corruption probe: Nobody let off the hook, PMO report confirms THISDAY REPORTER Dar es Salaam QUESTIONS still linger over a number of dubious, gold-related...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
...mambo mengine tukisema ni ujinga wa mwafrika, tunakosea. Huu wizi wa vifaa vya hospitali, mfano huu wa kuiba mashine ya saratani, ni ujinga wa mtanzania. hii ni Inside job, inayowahusisha...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
TUAMKE JAMANI TUSILALE, MAPAMBANO BADO........ Napenda kwanza kutoa shukurani zangu za dhati kabisa kwenu ninyi wanachuo wenzangu kwa mshikamano mliouonyesha kipindi chote cha mapambano dhidi ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Consumption & Corruption: Politics should be about equitable development and distribution of resources to benefit the most people. But, people are also responsible on how they affect each other...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
2009-02-05 06:40:00 MPs want heads to roll over ATCL saga By Faraja Jube, Dodoma THE CITIZEN The Government yesterday came under pressure from MPs to take a decisive action against...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pikipiki kuwakaanga viongozi CCM Arusha Mussa Juma, Arusha KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) mkoani Arusha, imependekeza zichukuliwe hatua za kinidhamu dhidi ya viongozi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
I have written a "couple" of letters to some human rights group and a couple of foreign envoys suggesting to them that their respective countries should offer political asylum to Tanzanian...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Akubali kurusha Ndege mbovu za ATCL, Akubali kununua Ndege Mbovu Aokolewa na Waziri wa Kilimo Mramba hatimae anena Zitto: wahusika waliofikisha hali hii lazima waadhibiwe, Kwanini viongozi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kila Jumapili ya Tatu ya mwezi wa Tano watu wote ulimwenguni huwasha mishumaa kuwakumbuka waliopoteza Maisha kutokana na UKIMWI/AIDS.Serikali za Nchi nyingi sana zimeifanya siku hii kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Meneja wa Shoprite kizimbani kwa kuwafungia chumbani wafanyakazi RAIA wa Kizungu, ambaye ni Meneja Mkuu wa duka la kuuza bidhaa za kusindika maarufu kama Shoprite, amefikishwa kizimbani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
interview with Erik van Veen. He is the Chief Commercial Officer of MTN Uganda one of the continental telco and mobile leaders in Africa. Erik is a member of the mailing list and offered some...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna habari kuwa kituo kidogo cha polisi kilichopo katika jengo la stendi kuu ya moshi mjini kimeuzwa na sasa ni duka la kuuzia mikate (grocery) naomba kwa waliopo karibu na huko watupe habari kamili.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…