kituo cha polisi kimeuzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kituo cha polisi kimeuzwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CalvinPower, Feb 4, 2009.

 1. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  kuna habari kuwa kituo kidogo cha polisi kilichopo katika jengo la stendi kuu ya moshi mjini kimeuzwa na sasa ni duka la kuuzia mikate (grocery) naomba kwa waliopo karibu na huko watupe habari kamili.
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mtauza hata ikulu yenu sasa!
   
Loading...