Je, Kweli Tumerusha Ndege za ATCL mbovu - KAWAMBWA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Kweli Tumerusha Ndege za ATCL mbovu - KAWAMBWA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 5, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,417
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  --Akubali kurusha Ndege mbovu za ATCL,
  --Akubali kununua Ndege Mbovu
  --Aokolewa na Waziri wa Kilimo
  --Mramba hatimae anena,
  --Zitto:wahusika waliofikisha hali hii lazima waadhibiwe,
  --Kwanini viongozi husika wasifungwe gerezani,hawa ni wauwaji kabisa

  Hatimae waziri wa miundo mbinu mh shukuru kawambwa jana alihitimsha yale makelele yaliokuwa yakipigwa kila siku na wana JF,kama si busara za mhe spika kwe kweli jana yalikuwa yamkute yaliomkuta mh waziri mkuu alieachishwa kwa manufaa ya umma Mh EL.,ilikuwa mwanzoni kama cinema ya shwaziniga lakini muda ulivypokuwa ukiendelea mh aliendelea kuwa na wakati mgumu sana kwa wale waliosikiliza kipindi cha bunge,,kwa mara ya kwanza mh waziri amekubali kwamba uongozi wa ATCL ulidiriki kununua Ndege mbovu za kubebea abiria,na kudiriki kubeba abiria muda wote huo ikijua ndege hazina ubora wa kiwango kinachotakiwa,katika kubanwa na maswali ya waheshimiwa wenye uchungu na ndege zao mh kawambwa alidiriki kusema namnukuu
  ""PAMOJA NA KUNUNUA NDEGE MBOVU KUNA SI WAKATI WOTE HAZIFAI KUBEBA ABIRIA""mi na wewe hatujui maswal ya ndege nahisi waheshimiwa wa
  TCAA wanaweza kutuelekeza hapa hii statement ina maana gani??
  Akiwa anatoka jasho kama amemwagiwa maji mh waziri wa miundo mbinu ambae JF kama kawaida ilidiriki kupoteza pg zaidi ya mbili kwenye kijarida cha cheche kuweza kuwatabainaisha waheshimiwa nini kinaendelea ATCL lakini hakuna kilichotendeka muda wote mpaka lilipoamuliwa kutorusha ndege zake,
  Baada ya muda alisimama mbunge mmoja mwadilifu na kumuuliza mh waziri haoni kama uongozi wa atcl umediriki kununua ndege mbovu tena kwa bei ya juu tofauti na soko la AIRBUS lilivyo na hivyo kutia mashaka kuna watu wanakula pesa nyingi tu kila mwezi zaidi ya doller 100,000 kwenye malipo ya hii ndege uko ilipotokea,JF ikusita kuleta hadi website za Airbusili ziwasaidie kutafuta watu wanaofaa ndege zilizoimara,,na kama wamwekuwa na kibri kama hiki ambacho TCAA ikilijua hili hauoni mh waziri kuna umuhimu wa kuwafikisha hawa VIONGOZI WOTE WA ATCL MAHAKAMANI haraka iwezekanavyo??maana hawa mi nawachukulia kama ni wauwaji kabisa akinukuu!!!
  La hasha alisimama yule "FISADI WA EPA""Mh B.Mramba ambae ana hisa kubwa shirika la PRECISSION ,na ambae kipindi akiwa waziri wa miundo mbinu bila kujijua alirekodiwa kisema bora shirika la TACL life,Baada ya kuona hoja zake azikubaliwi akadiriki kuandika barua kuonyesha imetokea precission wakiomba waungane na ATCL na kuwa Nation airline,,bila kuwa na akili akaliwasilisha hojazake kwa waziri mkuu zikapingwa akaamua kuwa mdogo na kuanza kupambana rasmi na ATCL,,huyu huyu nae jana alidiriki kusimama na kusema viongozi wote wahusika lazima waadabaishwe haraka sana..yah ni kweli lakini kama ni kuwaadabisha nafikiri tungeanza nae kwanza maana akiwa na majukumu ya kuhakikisha atcl inaruka ndi aliechangia kufa kwa atcl
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  .....ina maana huyo Mh ali-ref JF.....??, maana uandishi wako unachanganya kidogo.....
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,417
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  Baada ya hapo alisimama mh ZITTO KABWE ambae kwa uchungu alisema yaleyale yaliokuwa yameelekezwa kwa mh waziri kwamba kwa nini wahusika wote waliolifikisha shirika hapa lilipo wasifikishe mahakamani???kuna tatizo gani mh!!labda tunaweza kukusaidia na kamati yangu ,aiwezekani watu wanlikosesha shirika zaidi ya shillingi million 500 halafu bado wanaendelea na kazi na wengine kudiriki kutangaza mitaani kwamba wameshinda na ole wao wote waliokuwa kimbelembele kuwasakama watakiona cha moto...hapa lazima tupaangali mh waziri,,kama nakumbuka kuna gazeti nilisoma wafanyakazi wametoa tamko lao rasmi kwako hawaitaki menejiment wala bodi yao,,sasa kama mh hawa watu wanasema hivi wasije kuliaribu shirika kwa kuwaondoa wafanyakazi wasio na hatia,,maana mh wao ndio waliolifikisha hapo lilipo haiwezekani wao walitie hasara waje kuondolewa wengine naomba haya ,uyafwatile mhe waziri!!!
  Ndipo waziri alipoishiwa na nguvu kabisa ,na hapo mzee wa busara mzee wetu waziri wa kilimo bwana stephano wassira aliposimama kumsaidia mh waziri,,jamani ni kweli ndege zimerushwa mbovu na tatizo si zimearibika lah,,zimeletwa zikiwa mbovu kabisa na serikali inajitahidi sana kwa ukaribu kulirekebisha kasoro zote zilizokuwapo hapo nyuma namnukuu!!!!!
  Baada ya muda liliulizwa swali kuhusu wachina ambao wanasomeka kwenye magazeti je,na hata majuzi tulisoma gazeti moja linaonyesha mwenyekiti wa bodi ya atcl akikana kuhusu wachina na wakati huohuo alipofatwa mh mattaka alikiri yeye anajua wapo,,unawezaje kutusaidia,,majibu""ni kweli wah wachina wapo na wamekuja muda kidogo ila kuna baadhi ya mambo unamalizia muda si mrefu mambo yatakuwa swafi kuhusu atcl,,,katika hilo wachina watakuwa na hisa 49 asilimia na serikali 51 asilimia,,

  Tunashukuru kwa kutueleza ukweli halisi ambao sisi kama JF MEMBER'S tunasema kama ungekuwa ukisoma humu ndani kuhusu atcl ,na natumaini ulikuwa ukikipata kijarida chetu kuhusu atcl,ufisadi uliolifikisha atcl,,ununuzi wa ndege mbovu,,ajira zisizo na mpangilio,,wizi mkubwa uliofanywa katika unuzi wa magari ya kampuni uko dubai,kitendo cha kununua mitumba na kuleta bei za magari mapya,,yote uliyajua na unayajua na mpak takukuru wakakusaidia sijui wameishiwa wapi au nao wamekamata chao mapema wakatulia...ombi letu hata kama umesoma badhi ya umbeya kwenye threads jitahidi kuendelea kusoma nyingi zina ukweli ambao utakusaidia katika vita hii ya kifisadi,,ili kuondokana na vikwazo vinavyompata ndugu yetu L.MASHA...
  Kila la kheri usikose kijarida cha bure cha ""CHECHE ""KILA JUMANNE
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,417
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  hapana mkuu Hilo ni wazo la kumwelekeza waziri ""jf aikusita kuleta hadi website"""
  hOPE TUKO PAMOJA
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Feb 5, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mwaka mmoja baadaye.. waacheni tu.. nchi yao na ufalme ni wao!
   
 6. Elusive

  Elusive JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama siyo 'murder' basi 'attempted murder' au tuseme 'manslaughter' ambayo adhabu yake ni kifungo cha maisha.
   
Loading...