AJALI iliyohusisha magari yapatayo saba iliyotokea katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam imesababisha vifo na majeruhi kadhaa waliokimbizwa hospitali wengine wakiwa katika hali mbaya sana
Ajali hiyo imetokea leo asubuhi, maeneo ya Kimara Bucha katika barabara ya Morogoro ambayo inasemekana gari aina ya RAV 4 kupinduka, pia yakiwemo mabasi mawili ya daladala aina ya Isuzu Jorney na Toyota Hiace.
Mengine yaliyohusika katika ajali hiyo ni Toyota LandCruiser, Toyota Hilux, Nissan Patrol na RAV 4 ambayo yote yalikuwa yakitokea Mbezi kuelekea Mjini.
Source: http://www.nifahamishe.com