Mwakilishi wa Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA)audanganya uma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakilishi wa Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA)audanganya uma.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tikerra, Feb 7, 2009.

 1. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Katika kipindi cha Jee Tuambie kilichorushwa tarehe 05/02/09 TBC kuanzia saa 3:30 mpaka saa 4:30, mwakilishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) aliudanganya uma kwa kusema kwamba simu za mkononi(mobile phones) na minara ya simu haina madhara kwa watumiaji.Naomba nimkumbushe mwakilishi huyo kwamba Radio Tanzania na Bunge,walitoa taarifa kwamba simu zina madhara, kwa hiyo matumizi yapunguzwe na minara isijengwe karibu na maeneo ya watu.Nasifu sana hatua zilizochukuliwa na Bunge letu tukufu pamoja na Radio Tanzania kwa vile taarifa zao zina ukweli na zinawajali wananchi, ingawa kwa huchelewa sana.Sasa sijui tumwamini yupi, mwakilishi wa TCRA au Radio Tanzania na Bunge?Naomba niseme wazi kwamba mwakilishi wa TCRA hakufanya homework yake vizuri au alidhamiria kuwadanganya wananchi.Machapisho yako mengi yanayo onyesha kwamba aidha simu zina madhara au bado hakuna uthibitisho wa kutosha kwamba zina madhara.Hata WHO ambao anasema TCRA inashirikiana nao inasema haina ushahidi wa kutosha kwamba simu zina madhara.Hawa sishangai kwa vile nia yao tunaijua!Lakini kwa mtu mwenye aklili timamamu matamshi WHO ni tete,kwa vile inaonekana wazi kuna kitu kinachofichwa. Nimesema mara nyingi kwamba kiongozi asiyejua conpiracies zinazoendelea duniani hatufai kwa vile katika zama hizi za ushetani uliokithiri lazima ataingizwa mkenge.Sasa napenda niseme kwamba mwakilishi yule wa TCRA aidha alisema simu hazina madhara huku akijua anachofanya au kwa kuingizwa mkenge!Kwasababu kama hajui madhara ya simu, ingekuwa busara kwake kusema hana hakika kama zina madhara au hazina.Napenda niwafahamishe watanzania wote kuwa waangalifu sana na simu.Upo ushahidi wa kutosha sasa kwamba simu zina madhara.Kwa uchache nenda
  Mobile phones tumour risk to young children - Times Online na Mobile phone and Health issues
   
Loading...