Tanzania aids candlelight si ya wazungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania aids candlelight si ya wazungu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by machozimaji, Feb 5, 2009.

 1. m

  machozimaji New Member

  #1
  Feb 5, 2009
  Joined: Apr 4, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila Jumapili ya Tatu ya mwezi wa Tano watu wote ulimwenguni huwasha mishumaa kuwakumbuka waliopoteza Maisha kutokana na UKIMWI/AIDS.Serikali za Nchi nyingi sana zimeifanya siku hii kuwa maadhimisho ya kitaifa,lakini ni watanzania wangapi wanaoijua AIDS CANDLELIGHT EVENT? Hata TACAIDS na NACP na Wizara ya Afya hawaijui.Hivi karibuni Global Health Council ilimteua Dr.Isangula kuwa msimamizi wa Candlelight nchini,nilipata nafasi ya kuonana naye na masikitiko yake makubwa ni kwa jinsi watanzania wanavyodhani event hii ni ya Wazungu,amekuwa akihangaika TACAIDS na NACP ili waitambue siku hii na kuiingiza katika programme za Ukimwi nchini lakini wapi.Hebu Tuzinduke jamani kwani Mwaka huu tarehe 17 May Ulimwengu mzima utawasha mishumaa ya amani na matumaini kuwakumbuka waliokufa kwa Ukimwi.Hii ni siku ambayo tunaweza kuelimishana na kukumbushana wajibu wetu katika mapambano ya ukimwi.Kwa taarifa zaidi tembelea International AIDS Candlelight Memorial
   
Loading...