Nani kasema haiwezekani?

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Siku zote wataalamu wa Tanzania wa ICT wameendelea na ngonjera zao kwamba haiwezekani kuzuia maroroso ya internet kwa vijana wetu.

kwa wenzetu UAE, China, wanazuia content wasizozitaka.

Tanzania pia ingewezekana... kama TCRA ingesimama imara... lakini Tanzania kila kitu bora iende.
 
Last edited:
Mkuu please maelezo ya ziada yanahitajika....
Ameipata akisurf akiwa Dubai,kwani angesurf akiwa bongo asingeipata?
TCRA isimamie lipi hasa?Kuhakikisha kuwa akses to furiiii mp3 and lyrics zinapatikana online??
Weekend hizi.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom