Msaada kwenye tutazz!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tutazz!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Abdulhalim, Feb 6, 2009.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wakuu heshima mbele,

  Mazee naomba tafu kwa mdau yeyote ambaye ana ufahamu kuhusu software yeyote ambayo ipo capable kutengeza video clips kutoka kwenye images files kama vile JPEG etc.

  Naomba video format ikiwezekana iwe ktk muundo ambao ni rahisi kuchezeka na window media player..mathalan *.AVI *.MPEG etc .yaani nisingependa complication ya ziada ya kutafuta media ya ku-play hiyo video.


  Natanguliza shukrani.


  al Masih.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  NB: My life depends on this ..pls!!


  (Just kidding)
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ndio ziko ambazo unaweza kutengeneza animation kisha una export kwende kwenye aina nyingine ya player unayotaka
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tafuta gif animator yoyote ukifanya animation unauwezo wa kufanya convention kwenda katika flash au mpeg
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hebu nieleze kwa utuo kidogo..

  Unajua mimi mgeni huku bara..

  Tafadhali..
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe mtindio, ushaanza! wewe na mambo hayo wapi na wapi? duhh...au unataka kubadili zile snap zako za nanihii kwenda kwenye nanihii? Allahu Akbar, makubwa haya, haya mpeni kichaa mke...
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Feb 6, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  naona unaanza utani

  haya usiku mwema wengine watakuja
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sio utani.

  Yaani maanake naomba maelezo ya ziada,ili niweze kuokoa muda. Hizo GIF animator zinacheza JPEG? Na ipi ambayo umeshaitumia ..nk.

  SIjui umenipata. Yaani kuweka wazi zaidi ni kuwa nina series of JPEG (sio GIF) files nataka kutengeza movie clip. Sijui umenipata?
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sitegemei mchango wowote kutoka kwako, maana najua hizi taaluma kwako ni kichina. Usikhofu ni mgawanyo tu wa kazi.

  By the way, UDHU muhimu ustadha, unatoa kaharufu flani hivi, mpaka huku nakasikia ka-uvundo ka-janaba kila unapobonyeza keyboard kanazidi kunifikia.. :D :D


  Was'alam
   
 10. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Jaribu Windows Movier Maker. Utatengeneza WMN video format inayochezeka na window media player
   
 11. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #11
  Feb 7, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hiyo haina quality
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ipi yenye quality sasa mukulu Shy?
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mtumishi wa Mungu tafuta hii software inaitwa Crazytalk media studio v.5. Itakusaidia.
  mimi ninayo version 4. Unatumia still picture kuifanya izungumze as if ni video movie!
   
Loading...