Hongereni wana karatu kwa kumtendea haki Dk silaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongereni wana karatu kwa kumtendea haki Dk silaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OkSIR, Oct 27, 2009.

 1. O

  OkSIR Senior Member

  #1
  Oct 27, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina budi kuwashukuru wote waliopiga kura karatu na sehemu nyingine zote ambazo CCM IMESHINDWA KTK SERIKALI ZA MITAA

  SHUKRANI ZA PEKEE ZIWAENDEE WOTE WALIOSHIRIKI KA TIKA UCHAGUZI PALE KARATU HAKIKA SINA CHA KUSEMA ZAIDI YA KUSEMA ""MMEM,TENDEA HAKI""MBUNGE WENU...KWA WALE OTE MNAOSOMA HIVI SASA TUJITAHIDI HATA KAMA TUMESHINDWA SERIKALI ZA MITAA BASI UDIWANI NA UBUNGE TUSIWAPE KABISA CCM ILI IWE FUNDISHO TUNAITAJI SERIKALI INAYOJALI WANANCHI NA SI INAYOJALI MAFISADI NA FAMILIA ZAO

  RGDS
  MWANAKARATU
   
 2. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2009
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  am gona be the second to congratulate wanaKaratu-------hii inaonyesha kuwa kweli karatu kuna hisia za Mageuzi ya kweli. Napata hasira sana napoona bado Watanzania wengine hawajaamka na bado wapo kwenye lindi la usingizi mzito. Jamani tuna matatizo gani? angalia sasa Tanzania eti hakuna umeme, sehemu zingine hakuna maji, ukitaka kujua yote haya we nenda pale Bihawana village pale nje kidogo ya Dodoma, mimi nimekaa pale wakati huo mbunge wao ni Sagafu--------ile sehemu hakuna maji, yaani sisi shule ya Bihawana ndo tuligeuka kuwapa maji na chakula wananchi wa pale, hii ni hatari na ingali mbunge wao yupo. kipindi cha kiangazi yale maeneo ni ishu-------lakini angalia wananchi wa pale bado tu waliendelea kumpa sagafu kura----

  karatu hureeeeeeeeeeee, mageuzi daima

  ROM
   
 3. O

  OkSIR Senior Member

  #3
  Oct 27, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  m gona be the second to congratulate wanaKaratu-------hii inaonyesha kuwa kweli karatu kuna hisia za Mageuzi ya kweli. Napata hasira sana napoona bado Watanzania wengine hawajaamka na bado wapo kwenye lindi la usingizi mzito. Jamani tuna matatizo gani? angalia sasa Tanzania eti hakuna umeme, sehemu zingine hakuna maji, ukitaka kujua yote haya we nenda pale Bihawana village pale nje kidogo ya Dodoma, mimi nimekaa pale wakati huo mbunge wao ni Sagafu--------ile sehemu hakuna maji, yaani sisi shule ya Bihawana ndo tuligeuka kuwapa maji na chakula wananchi wa pale, hii ni hatari na ingali mbunge wao yupo. kipindi cha kiangazi yale maeneo ni ishu-------lakini angalia wananchi wa pale bado tu waliendelea kumpa sagafu kura----

  karatu hureeeeeeeeeeee, mageuzi daima

  ROM

  KABUCHE PAMOJA NA HAYO TUSIKATE TAMAA IPO SIKU MILIMA YA BABELI ITAANGUKA

  KUNA MATATIZO MENGI SANA HASA KWENYE UCHAGUZI NDUGU..MI NIMEONA LIVE WANANCHI WENGI HAWAJUI NINI CHA KUANDIKA AMA JINSI YA KUMCHAGUA ANAE MTAKA NA HAPO NDIPO CCM ILIPOTUMIA NAFASI HIYO KWA MAPOLISI KUWAELIMISHA WANANCHI NA MWISHO WA SIKU UNAKUTA ZOTE ZIMEHARIBIKA,,,...TUNAITAJI ELIMU YA UCHAGUZI INASIKITISHA WATU WANACHOTA HELA NYINGI TU KWENYE UCHAGUZI ZINAISHIA NA SEMINA ZA KUGAWANA PER DIEM...DEMN'M
   
 4. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  da mi pande zangu mwanza huku CCM wamipiga zegwe la kutuibia kura so mambo sio mazuri lakini safari bado harakati zinaendelea
   
Loading...