Tabia chafu isipodhibitiwa huumbua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabia chafu isipodhibitiwa huumbua!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lekanjobe Kubinika, Oct 23, 2009.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2009
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jana jioni, barabara ya kwenda Bagamoyo, saa za jioni wakati watu wanarudi majumbani kutoka kwenye mahangaiko ya maisha, ndani ya basi al-maaruf Daladala. Watu wakiwa wamejaa kishenzi kutoka Kariakoo wakiwa wengi wameshikiloa mabomga darini.

  Mzee mmoja mtanashati na kijana wa makamo hivi karibia 30s akajikuta anasimama nyuma ya mdada mmoja aliyejifunga ushungi kichwani na kajifungasha nguo kadha mwilini mwake akiwa kasimama naye mbele ya kaka huyo. Gari ikawa inavipanga vituo kwa namba tangu Kariakoo hadi Mbezi Beach na kuendelea.

  Si wamejazana? kaka huyo kila gari inaposhitua kwa kuongeza mwendo akajikuta fimbo yake inagusa mfereji wa makalio ya dada yule. Kwa kuwa fimbo haina siri, ikaanza kutanuka, naye akanogewa na kukaa sambamba na mfereji wa dada. Alisubiri sana mshituko wa gari ambapo fimbo yake ilikuwa inalala sambamba na mfereji, hata dada yule akahisi kitu kirefu kinambinuabinua mfrerjini nje ya nguo zake, hata gari ikisimama jamaa nyuma yake hakai mbali na bado anasikia kitu kinamsukuma mferejini.

  Dada huyu jasiri akanyamaza tu. Baada ya vituo kadhaa kuhesabiwa na daladala ile, naye akiwa amefika kituo cha mwisho Mbuyuni, akageuka ghafla, akamzaba kofi kaka yule usoni na kumbwatukia kwa sana, "wewe ndio mshenzi kabisa hapa jijini, kitu gani saa zote umevutiwa kwangu? Kitu gani sema. Nimekuona tangu tunaanza safari, unachovimbishia mdudu wako kwangu ni nini kilichokuvuta......?"

  Yule kaka akakaa kimya na watu wakaachwa vinywa wazi kwa bumbuwazi. Hawakuamini kaka yule ndiye aliyepigwa kofi na wala hajitetei, lakini kwenye suruali yake mishale ya zipu pametuna kisawasawa na kisha kunywea, usoni akawa mkavuuuu! Dada yule alishuka na kuendelea zake huyooooo.

  Kwa waliokuwa wanaendelea ikawa bunge likijadili hili na lile yanayofanana, lakini wakiangalia usoni kwa mkaka ambaye aligeuka bubu kabisa, akashuka mwisho wa hesabu za vituo kule Kibaoni Tegeta na ktoweka haraka haraka.

  Jamanieee, kina kaka tujiepushe kusimama nyuma ya kina dada watanashati kwenye daladala kama hatuna vifua kuhimili vishindo. Kama ni lazima basi simama upandeupande na au weka begi yako mbele iwatenganishe na mihamko ya madada. Unajua tena wakati mwingine...binadamu huenda akikaa sana bila kuliona shamba huingia matatani.

  Lakini wakati mwingine ni tabia ya mtu, wengine wanasema wanaogopa ukimwi, akizidiwa hupanda daladala akivizia dada awe mbele yake. tena hungojea gari ijae kwa sana. Hawataki viti ili wakae. Kila mara hufanya hivyo, wengine wamejikuta wanachafua kina mama kwa mabomba yao kurukia kwenye nguo za kina mama. Aibu! Hata wengine wameshakamatwa wamevaa na silaha za kulimia tayari, majembe yao yakiwa ngangari kweli kweli.

  Jamani tujihadhari, tabia hizo tukiziendekeza ndio vibao hivyo, na kupelekana polisi.

  Leka
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280

  Yaani nimebaki nacheka hadi machozi yananitoka.
  Ungejitahidi kuchukua picha muzee
   
 3. K

  Kelelee Senior Member

  #3
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tushawazoea watu wa design hii kwenye daladala mi huwa mapemaaaaaa nikihisi tu nakaa kiupandeupande hehehehe
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Du Pole kwa yaliyokukuta dada yangu. Ila kitendo cha kumpiga kibao mtu bila sababu sijakifurahia, maana kama yeye kashika bomba ni dhahiri hakukuvutia kwenye fimbo yake ila mfereji wako ndiyo ulikuwa unaficha fimbo. Kwa nini usimueleze tokea mwanzo ukawa unaiacha fimbo tu bila kuikimbia?, mpaka ulipofika mwisho ukapata hasira ya kuiacha fimbo na kupiga kibao mshika fimbo si haki kabisa.

  waliosema msafiri kafiri walishayaona haya yote
   
 5. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2009
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Dada ni mnafiki kweli, alikuwa anafurahia zoezi husika na yawezekana kabisa kibao kile kaka hakukielewa tu, pengine ilikuwa ishara ya kumwambia washuke wote ili akamfichie fimbo uzuri na si kwa kupapasa juu ya nguo!

  Hahahahahahahahaaaaa, mambo mengine ni ya kweli lkn ukiyasoma kama picha vile, nami hunitokea mara moja moja lkn si kwa kudhamiria kama jamaa yangu aliyekula kibao cha bure!
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hivi kumbe wewe ni she!!!!!
  poleni sana dada zangu na mikasa kama hii
   
 7. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Lakini bana twende mbele na kurudi nyuma, hawa dada zetu nguo zao siku hizi mmmmmmmmhhhhhhhhhh!
   
 8. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #8
  Oct 27, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Kwamba huyu dada hakupenda kuchezewa na huyo jamaa,ni sawa. Na kwamba huyo jamaa alikuwa mtulivu alipopigwa kofi,ni sawa.
  Lakini katika hali kama ile ya public transport,ambapo inaeleweka kwamba wanawake na wanaume watagusana,nadhani sheria za maadili zinakuwa suspended,ama sivyo,mass transit itakuwa kazi ngumu sana.
   
Loading...