Kashfa uwanja wa ndege Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kashfa uwanja wa ndege Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, Oct 17, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hivi how hard is it kwa Immigration officers kufua nguo zao?

  Hivi how hard is it kurekebisha zile escalators pale waunja wa ndege?

  Hivi how hard is it kuweka Aircondion mle dani?

  Halafu hivi mtu ukishapita pale customs na huna ulicho declare kuna ulazima gani wa kuweka watu kumi pale mlangoni kuuliza wageni maswali yasio na kichwa wala miguu?

  Halafu wale askari kanzu waliojazana pale nje baada ya kutoka nao lazima wasumbue watu?


  Hivi ni akina nani ambao inabidi wajibu haya maswali na wawajibishwe...I mean from waziri husika mpaka meneja wa uwanja wa Ndege?


  Halafu ule upande wa VIP hivi kile kijichoo ndio the best we can do?
   
 2. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 782
  Likes Received: 465
  Trophy Points: 80
  Labda wanangoja upanuzi wa uwanja!! unachosema ni kweli, yaani mambo ya aibu tupu.. kuna vimeza fulani hivi viko mle ndani navyo pia kero achilia mbali kuwa vina kutu lakini pia vimechoka ile mbaya
   
 3. A

  August JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  kwa kweli hili suala linakera kuliko, njaa kali ya hao watu wanaokuuliza maswali ya ajabu ajabu, na kuhusu air-condition ni uzembe wa authorities hapo airport.
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Waheshimiwa wanapita pale kila siku na suti zao za nguvu wala hawalioni hilo. May be mawazo yanakuwa preoccupied kwenye kupanda mchuma, ma-stewardess na tule tu sandwiches kwenye ndege!!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Oct 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi suala la vyoo nimeshalilalamikia weee lakini wapi. Aaaaah....mimi nshaachana na DIA au sijui JKNIA...who the hell cars? Mimi mtu wa Hartsfield-Jackson, LAX, Dulles....u'know what 'i mean?
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  immigration officers na askari kanzu kila sehemu

  kazi yao kubwa ku sumbua abiria
   
 7. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2009
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Wewe Julius ni kiboko, yaani wewe anga zako ni kama JFK, O'HARE na labda kidogo REAGAN airports sio. I cant blame you, kwani inafikia wakati mtu unasema sasa mimi basi. Hatukuzaliwa ili tupate shida, tumezaliwa ili tufurahie maisha-ni kwa namna gani utaweza kufurahia maisha yako hapo ni kwa vipi utapo zichanga karata zako mwenyewe.
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  hivi how hard is it kutengeneza zile escalators na kuweka air condition?

  hivi hawa jamaa washakwenda JKIA pale Nairobi wakaona wenzao walivyojitahidi?
   
 9. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwa wanasafiri mara kwa mara, kwao si tatizo kukanyaga mavi kwani huko waendako wakirudi watakuwa na pair mpya za viatu. Wewe usie na uwezo huo kazi kwako kwenda kuviosha viatu vyako.

  Aliyezungumzia kuhusu viongozi wetu kwamba huwa wakifika pale Air port huwa wanafikiria tu kula tumikate ndani ya ndege ni sahihi.
   
 10. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Top airports duniani sio vyombo vya serikali.Angalia BAA ,owners wa Heathrow,Stanstead na Gatwick za UK,ni kampuni binafsi ambayo inamilikiwa na Ferrovial group ya Spain.Kwa hiyo serikali ya UK,haiinglii utendaji wa viwanja hivi,labda tu kama kuna suala la competition issues na mambo mengine.
  Serikali cant run business ,ndio maana hali ya kiwanja inakuwa hivyo.kutokana na ufisadi ,watu hawatapenda kusikia kuwa uwanja uuzwe kwa private companies duniani ambao wanauwezo wa kueendesha airport.Sio bogus company toka india etc.
  Ingekuwa amri yangu uwanja unapendezwa kuitwa DIA than the current name.
   
 11. M

  Myamba Senior Member

  #11
  Oct 27, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Halafu pita na begi usikie maswali bwana watakayokuuliza watu wa customs, eti umetokea nchi gani? ulikuwa kule siku ngapi? mara wafungue begi, mara wafunge, mara wakupotezee muda pale, njaa bwana, kweli shida.
   
 12. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli aibu za pale balaa! hata mimi nilipita pale hivi karibuni nilipata kizunguzungu. Mizigo inafungiliwa kirahisi na inaonekana wafanyakazi wa uwanja wanaelewana na wa nyanja nyingine za ndani KIA nk. maana wanao-scan mizigo ulikotokea inakua kama wanawapigia wenzao simu huko Dar kuwaambia details za vitu walivyoviona kwenye mzigo wa mtu. Especially kama umeweka kitu kama perfume mpya ndani ya mzigo ni lazima ufunguliwe pindi ufikapo JKN.
  Hizi comments za Julius hapo juu ni nzito sana, mpaka mwananchi aikatae nchi yake namna hiyo ni kwamba imeuma, imemchefua. Sasa jiulize mgeni aliyekuja kuwekeza shida laizopata kufanya biashara yake humo ndani, usumbufu wa TRA, serkali za mitaa, traffic, jeuri za wanasiasa halafu na uwanja wa ndege si ndio maana wanaamua hata kuiba yaani kupakua kwa hasira! Kwamba hii nchi ya majitu majinga namna hii hakuna haja ya kuionea huruma!
  Niliacha kutumia ile sehemu ya VIP maana niliona kuna kila dalili ya kuambukizwa ugonjwa kule. That place is small, filthy and has no windows, haina mzunguko wa hewa safi . Infact iko kama a garage converted to a VIP room!
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Ni kutaka chochote kitu tu hamna jipya pale.Sijawahi kupita nikiwa natoka nje bila kusimamishwa na kunihoji kweli.
  Unajua mindset zetu leo zilivyo sio kufanya kazi ile tunayotakiwa kufanya. ni kuangalia jinsi gani unaweza kujiongezea kipato tokana na kazi unayoifanya. Imagine security officers na custom people wa airport wanakuandama kila angle kama vile ni mtuhumiwa hatari ili wapate chochote huku wanasahau kuboresha miundombinu yake.Aibu kweli
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Huyo Mkurugenzi wa TAA ana mafrustrations, maana anastaafu soon mwaka huu!

  Naona ameamua kuchimbia kwao Moshi hela zote za Maintanance, na zingine ziende kwenye Mradi wao na Mwakyembe kule Singida wa kufua umeme wa upepo!!
   
 15. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Miafrica Ndivyo Tulivyo:
  Jamani, katika nchi nilizoishi mbali na Tanzania, Viongozi wetu wanajiona ni miungu fulani, they don't interacts with their pple. Wamewekewa ulinzi mkali kana kwamba ana kesi ya jinai kwamba anaweza toroka au jiuwa asipolindwa.

  Viongozi wa nchi za wenzetu wanatumia terminal moja na wananchi, wanapita security check point kama kawaida. Hiyo inawasaidia kuona mapungufu yaliyopo kwenye maeneo husika na kupelekea kufanya maintenance.

  Wangapi wameingia VIP waiting longe ya hapo bongo? ukiacha hicho choo, i am sure vitu vingine vipo safi. sijui kwa sasa pakoje.

  Viongozi wetu wametembea sana, wanajua vitu vizuri. Lakini wamekuwa SELFISH mnoooooo, kiasi kwamba hawaoni vibaya wala aibu kuiona nchi yao/yetu ina-deteriorate Politically, Environmentally, Morally, etc.

  Anyway, Mungu ibariki Tanzania.
   
Loading...