MSG zinazotumwa na mitandao ya simu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSG zinazotumwa na mitandao ya simu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaboya Kenneth, Oct 26, 2009.

 1. K

  Kaboya Kenneth Senior Member

  #1
  Oct 26, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 110
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu mimi nakelwa sana na msg za promo zinazotumwa na hawa jamaa hasa hawa tigo na zantel, na hata voda na zain nao wanaiga sasa, naona kwao zinalipa sana. sijui wenzangu mnazionaje?
   
 2. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2009
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Zinakera mno alaf zinajaza nafasi kwenye simu zetu,kibaya zaidi zinatumiwa kila siku badala ya kutuma kwa muda fulani kama mwezi moja kwa mara moja au mara mbili kuliko kila siku.Wapunguze kutuma mara kwa mara!!!
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Inatakiwa kuwe na jinsi ya kukataa kupokea messages hizi, wapigieni simu mzikatae.
   
 4. N

  Nanu JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  If you happen to receive it just ignore it, do not spread by sending it. This people are creating those threads to meet their plans. as it is shared widely they earn more money!!!
   
 5. N

  Nzinyangwa Member

  #5
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 27, 2008
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiswahili: Sio nakelwa: Tumia nakerwa
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  wao wanadhani sie tunazifurahia hazina faida kwetu
   
Loading...