Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taarifa imetolewa kuwa barabara ya kwenda Arusha kutokea Dar eneo la Same haifai kwa nyakati za usiku kwa wakati huu kwani imekumbwa na mafuriko. Tafadhali kama una ndugu au jamaa anasafiri usiku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wapo wanaoamini kila kukicha wakienda makanisa mbali mbali wanaweza kutatuliwa matatizo yao;nakumbuka ndugu yangu mmoja walikuwa akienda kanisa moja baada ya kanisa akisema hili mungu kamuonyesha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Minister Kapuya says 1.2 million jobs created By Daniel Ondigo 10th January 2010 Employment and Youth Development Minister Prof Juma Kapuya While the opposition is blasting the ruling...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Man this is electrifying! If its true that power blackout will drag on to 20 feb then zanzibar is at brink of setting a world record for the longest power blackout in world an unprecedented 71...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania, Uganda still to join EA power pool as funds flow in Uganda Electricity Transmission Company's sub-station at Mulago in Kampala. Uganda, Tanzania, Djibouti and Libya are yet to join...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Everything you wanted to know about the 131m-strong Common Market Kenya, Uganda and Tanzania currencies. With the coming into force of the Customs Union on New Year’s Day and last year’s signing...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kipanya katupatia jibu leo,kumbe muheshimiwa hakua na hasira za kawaida,ni mambo ya 2010............
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo nilikuwa nacheki baadhi ya clip za mpira .hivi wale askari wanaolinda pale ndani nao wanaruhusiwa kuangalia mpira?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanafunzi Muhimbili wagomea chakula Na Hellen Mwango 10th January 2010 B-pepe Chapa Maoni Wanafunzi wa Taasisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani, nadhani waTanzania wenzangu ambao hampo nyumbani mtakubaliana na mimi. Ukiwa huku kwenye nchi za watu saa ingine unataka kusikiliza redio/ tazama runinga za nyumbani. Ukiingia kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Walawi: 11: 4 -5 "Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na wale wenye kwato katika miguu; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu. Na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inaonekana kilele cha mafanikio kwa kila Mbongo ni kugombea ubunge. Mwandishi wa habari akiwa maarufu badala ya kufikiria kwenda Al Jazeera, CNN, etc. anafikiria kutumia umaarufu kupata ubunge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mada hii ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu kwani inahusika moja kwa moja na namna tunavyojitawala na kujiongoza. Naamini mfumo wa kitawala wa taifa letu unahitaji maboresho. Kwa mfano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna kikomo kwa shukrani tunazotakiwa kutoa kwa mama zetu. Leo hii uambiwe mama yako tunamtoa kundini(je hii inamaanisha wewe unabaki) maana yake hayupo , kwa hiyo mama hayupo mtoto hawezi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kuanza kutoa fomu za wagombea urais, ubunge na madiwani kuanzia mwezi Aprili, kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Five killed as rains ravage Morogoro, Ruvuma regions By The guardian team 9th January 2010 At least 20 killed in Kenya and 30,000 in need of relief aid Five people died and many...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vibaka Dar wafunga mitaa, wapora mali, jambazi lalipukiwa na bomu likipambana na polisi Waandishi Wetu WATU zaidi ya 50 waliodhaniwa kuwa vibaka juzi walifunga mitaa ya maeneo ya Yombo Dovya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dear Hon. Zitto Kabwe MP Could You Define Your Personal Leadership Vision? Leadership vision is an essential means for focusing attention on what matters most; what you want to accomplish...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa? Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani? Sija sikia dini imefutwa. Hili likoje wadau.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani kuna picha ya dada mmoja aliwangurumishia majambazi waliouwawa hivi majuzi;hakika roho imenidunda gafla kwanza kuona mtoto mwenyewe na jinsi alivyopendeza;jamani embu mtafutieni kazi za...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…