Kuhama dhehebu ni soln ya Matatizo yako?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhama dhehebu ni soln ya Matatizo yako??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 11, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,276
  Likes Received: 5,637
  Trophy Points: 280
  wapo wanaoamini kila kukicha wakienda makanisa mbali mbali wanaweza kutatuliwa matatizo yao;nakumbuka ndugu yangu mmoja walikuwa akienda kanisa moja baada ya kanisa akisema hili mungu kamuonyesha ;kweli yapo baadhi ya matatizo aliweza kufanikiwa kutatuliwa,leo hii nakuja kwako mpendwa je kuhama hebu ni soln ya matatizo yako;
  Kwa upande wangu naweza sema kweli kuna wakati mwingine unatakiwa ukae katika dhehebu ambalo ukiomba sala zako mungu anafungua milango ya shida zako,uwezi kaa kanisa miaka kumi upenyi maisha yako,uendelei kiuchumi,kielimu,ndoa yako we ni wa kila siku yaani lile neno sijui kaambiwa matatizo yangu,,hakunakuna wakatyi unaitaji kujitenga ili ukafanikiwe
  Ibrahimu alipoondoka na kumwacha tera ndipo baraka za bwana zilipoanza kumminikia,unaitaji kuishi kwenye dhehebu linaloamini neno na kusema neno nano linatimia; Yer 1 :12 naliangalia neno na kulitimiza
  uwezi ishi kwenye kanisa miaka kenda akuna unachoendelea kwenye maisha yako ujengwi kiroho,unaitajikwenda dhehebu lililo sahihi kwa watu sahihi ili uweze penya kimaisha;yawezekana uko kanisa fulani sikwambii uende sehemu fulani nakushauri kaa katika kanisa la kiroho litakalo kukuza kwa neno;ukomba unatapika neno;ukiimba unatapika neno,kama unafundishauoni maendeleo usiogope kuhama mwombe mungu akupe kanisa sahihi lililo na watu sahihi kiongozi sahihi mwenye kupenya kimaisha kiuchumi kifedha;
  MUNGU AKAKUPE KANISA SAHIHI 2010;UKAPENYE MAISHA YAKO;MAGONJWA,ULEVI,UZINZI,MAUTI ISIWE YAKO 2010 IN JESUS NAME KAMA WAAMINI SEMA AMENI NA IWE KWA KO KAMA ULIVYOAAMINI
   
Loading...