KERO: Askari wa uwanja wa taifa

KERO: Askari wa uwanja wa taifa

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,682
Leo nilikuwa nacheki baadhi ya clip za mpira .hivi wale askari wanaolinda pale ndani nao wanaruhusiwa kuangalia mpira?
 
kwani hawana MACHO??

Haha nimekungea thaks kabisa. ila namaanisha kazi yao pale si ni kulinda ? sasa wanatakiwa wageukie washabiki,au bongo hakuna wahuni wanaoweza kukatiza uwanjani wakati wa mechi?
 
Hapa bongo ni shwari hakuna wahuni wa kutishia amani uwanjani
 
Wacha wale maisha, hiyo ndo posho ya kuwa ktk geshi ra porishi. By the way hatupo Afghanistan...
 
Duh, Jk tena ?? Yaani thread ni kwa ajili wa walinzi wa rais au askari uwanjani??

Wewe si unamaanisha bongo tambarare?kama ndo ivo wamewekwa wa nini sasa pale.si wangepewa viti kabisa sasa?
 
Hawana hata job description wanaenda kufanya nini na ndio sbb nao wanajiona ni kundi la watazamaji tofauti yao ni kuwa wao ni watazamaji waliovaa uniform za polisi
 
Back
Top Bottom