DINI ziko juu ya Sheria? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DINI ziko juu ya Sheria?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emma M., Jan 8, 2010.

 1. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa?
  Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani?
  Sija sikia dini imefutwa.
  Hili likoje wadau.
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ni kivipi unamaanisha dini kufikishwa Mahakamani? Unamaanisha nini unaposema dini kufutwa?

  We don't have laws that halt someones freedom of worship, inter-alia, we don't have laws that proscribes the government to embargo and/or impede a certain belief if that faith and/or belief is inhumane.
   
 3. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ukijieleza zaidi utasaidiwa.
  Je kuna dini ungependa ifutwe?Kwa nini?
  Je kuna dini ungependa kuifikisha mahakamani?
   
 4. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ujinga ni kitu mbaya

  Unaweza kufutaje dini? unajua maana ya dini?

  Jielimisheni dini maana yake kabla hujaleta hoja?
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Hivi mtu kuuliza swali imekuwa ujinga?
   
 6. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unajua maana ya ujinga?
   
 7. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sasa mjinga ni nani hapa?
  Muuliza swali au mjibu swali?
   
 8. O

  Omega.Omega Member

  #8
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Definition ya dini please.
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Jibu swali, "Mtu kuuliza swali ni ujinga?"
   
 10. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jibu swali nini maana ya Ujinga?
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Jan 9, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,592
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280

  Religion; 1. an institution to express belief in a divine power
  2. a strong belief in a supernatural power or powers that control human destiny

  3. Mpango wa wanadamu kumtafuta Mungu au kitu wakiaminicho  Angalia definition ya dini hapo juu, kitu kinachotegemewa katika society ni kuwa dini zinahimiza moral, we expect all positive and good things from religions,

  Hakuna dini moja duniani, na kuna dini ambazo zinatokana na idea za watu walioamua kuamini hivyo vitu. Mathalan let say le anatokea mtu ambaye anasema kula nyama ya watu ndio kutoa sadaka, na huyo mtu akawa anaishi Tanzania! obviously this will shock everyone and will lead to court issues.Sasa anayeshtakiwa hapa sio dini ni mtu, akishtakiwa mtu hukumu ikitolewa kuwa hiyo dini ipigwe marufuku inapigwa marufuku!

  so dini-watu huwezi kutenganisha, watu wana dini ila dini haina watu. Dini can only be live kwa sababu ya watu.

  Below are lists of some religions surround our universe-just some!!

  Other and related
  Vedic Religions


  Note: Yoga is not a religion, but rather a collective term for various spiritual practices and disciplines common to most branches of Hinduism.
  Non-Vedic Religions of India


  Religions of Far Eastern origin


  Other Religions/Spiritual Cultivation


  etc
   
 12. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mnatoka nje ya mada, mwacheni mtoa hoja ajibu. jaribu kuusoma uso wa mtoa mada, swali lake halijakamilika
   
 13. B

  Bumela Senior Member

  #13
  Jan 9, 2010
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ujinga ni hali ya kutojua kitu.Kwa mfano mimi sijui kuendesha ndege kwa hiyo ktk fani hiyo mimi ni mjinga.Mfano mwingine ni elimu mtu asipokuwa na elimu ya kusoma ni mjinga ktk nyanja hiyo na sio zingine maana naye aweza kuwa mwelevu ktk fani nyingine kama kuvua samaki, kucheza mpira n.k.
   
 14. B

  Bumela Senior Member

  #14
  Jan 9, 2010
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  1.Ni sahihi Dini ziko juu ya sheria, kwa sababu hakuna sheria yeyote duniani inayoweza kutungwa bila kuzingatia dini ya mahali hapo.
  Kama mahalihapo pana wakristo wote basi na sheria itatungwa kulingana nao na kama mahali hapo pana waislam halikadhalika sheria itakuwa ya jamii hiyo n.k.

  2.Dini haiwezi kushitakiwa kwa sababu ni Imani, anayeweza kushitakiwa ni mtu anayetetea hiyo imani. Dini is something which exist on it's own kwa hiyo huwezi kusema dini hii hapa mpaka uone mkusanyiko wa watu fulani.Kwa hiyo Dini kama Dini huwezi kuishitaki.

  3.Kama jibu la pili lilivyo huwezi kufuta Dini kwa sababu dini hukaa ndani ya mtu si kitu unachoweza kukiona. Unaweza kufuta mkusanyiko wa watu wa Dini fulani na Dini hiyo bado ikaendelea kuwepo ndani ya watu hao.
   
 15. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #15
  Jan 9, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mpaka hapa nimeshindwa kumwelewa muuliza swali!
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Mkuu Weboroya kwa manufaa ya wengine; hakuna Orthodox BAHA'I FAITH.

  otherwise tank you for this very useful post
   
 17. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2010
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mahakamani watu wanakula viapo kwa kutumia nini? Nafikiri dini ipo juu ya sheria.
   
 18. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  RELIGION
  A set of beliefs concerning the cause, nature, and purpose of the universe, especially when considered as the creation of a superhuman agency or agencies, usually involving devotional and ritual observances, and often containing a moral code governing the conduct of human affairs.
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  Jan 9, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kama wenye dini wanaapa mahakamani basi hawako juu ya sheria bali chini yake! Naona umechemsha kwa hoja yako hiyo!
   
 20. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ...ujijnga maana yake kutokujua,kutokua na ufahamu.....
   
Loading...