WARNING: Barabara ya Dar - Arusha si salama usiku!

WARNING: Barabara ya Dar - Arusha si salama usiku!

Invisible

Robot
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,285
Reaction score
8,464
Taarifa imetolewa kuwa barabara ya kwenda Arusha kutokea Dar eneo la Same haifai kwa nyakati za usiku kwa wakati huu kwani imekumbwa na mafuriko. Tafadhali kama una ndugu au jamaa anasafiri usiku mfahamishe asifanye safari usiku kwani anaweza kusombwa na maji ama kukumbwa na dhahma.

Shukrani kwa kusoma na kuusambaza ujumbe
 
Asante kwa angalizo hili muhimu especially for night travellers
 
mchana hawatasombwa na hayo maji au?
 
Back
Top Bottom