KERO: Kutopatikana kwa vyombo vya habari/burudani vya kitanzania kwenye mtandao


Injinia

Injinia

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
850
Likes
4
Points
0
Injinia

Injinia

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
850 4 0
Jamani, nadhani waTanzania wenzangu ambao hampo nyumbani mtakubaliana na mimi. Ukiwa huku kwenye nchi za watu saa ingine unataka kusikiliza redio/ tazama runinga za nyumbani.

Ukiingia kwenye mtandao utakutana na vyombo vingi tu vya Kenya, na vichache vya Uganda, lakini TZ hola! Halafu juzi juzi nilikuwa Tanzania nikasikia East Africa FM wakijitangaza kuwa wanapatikana mtandaoni, ukiingia humo ni matangazo tu. Clouds FM nao ndio hovyo kabisa, page yao iko vile vile tangu enzi za Masoud Kipanya!!!

Tafadhali, kama kuna anaehusika kwa namna 1 au ingine atusaidie katika hili jambo
 

Forum statistics

Threads 1,238,326
Members 475,877
Posts 29,316,229