We kova we mpe kazi za ofisi huyu;mtutu na yeye wala awaendani jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We kova we mpe kazi za ofisi huyu;mtutu na yeye wala awaendani jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 8, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Jamani kuna picha ya dada mmoja aliwangurumishia majambazi waliouwawa hivi majuzi;hakika roho imenidunda gafla kwanza kuona mtoto mwenyewe na jinsi alivyopendeza;jamani embu mtafutieni kazi za ofisini walahi kova ningekuwa bosi wake huyu angekuwa secretary wangu ;hata kama shule ajaenda msomesheni hiki kichwa...loh kova mkono mbona uachii mzee
  dada hongera kwa shuguli pevu;angalia waliokuchungulia kama mie wasikusumbue,mi nataka ufanikiwe kazini;mtutu sio kabisa na wewe dada
   

  Attached Files:

 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  WALAHI MUNGU WEE KIUMBE CHAKO KINGEMIMINIWA RISASI JAMANI SIJUI TUNGEJIBUJE HUKO AHERA;USHAURI WA BURE BABA KOVA
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  Hakuna mwenye namba zake?
   
 4. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimejaribu kumpigia namba haipatikani.........
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  This is exactly the type of publicity that is detrimental to the security of each individual policeman/woman.
  Mantiki ya kupongezana hadharani kwa kitendo hiki mimi siioni kabisa.Sijui Standing Orders zinasemaje katika utekelazji mzuri wa kupambana na majambazi lakini sana sana ni kuhatarisha maisha ya vijana hawa ambao wamefanya kazi yao vizuri na kwa umakini.
  Kamanda Kova lazima aelezwe kuwa kitendo kama hiki hakimsaidiii sana in the long run.
  Exposure ya identity ya hao vijana to the public at large is surely uncalled for.
   
 6. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Issue sio sura ni kazi, ina maana kabla hajaamua kujiunga na jeshi la polisi ni kwamba kazi zinazofanana na za salon zilishashindikana mwacheni dada afanye kazi na inaonyesha anazimudu!!
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Wapwa mko fit mi nafagilia atoke kwenye mtutu kwanza wapwa mshawahi kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  loh!!haya wahini na mie atanikumbuka
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ..

  Mwacheni dada AUWE WATU ingekuwaje kama ni mama wa watoto wako?
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Si unajua tena bongo, kila kitu shaghalabaghala. Mtu hakai chini one minute kupima hizi stunts za Pr zina athari na unyeti gani kwa wahusika.
   
 10. M

  Magezi JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hawa ni askari wa kawaida si sidhani kama kujulikana ni hatari.......hata yule dada wa marekani aliyempiga risasi yule maj. aliyewapiga risasi askari wenzake kambini alitangazwa hadharani kwa ushujaa wake.

  Hata yule traffic police aliyepambana na majambazi pale ubungo alikuwa anajulikana na wala hakuna issue ya secrecy pale.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mambo yanayotukia Marekani sio SI unit kwamba ndio itumike kama scale ya ku-calibrate matukio ulimwenguni. Kila tukio ni unique kwa sababu ya utofauti wa sababu, muda, wahusika na eneo etc. Kama kuna genge la uhalifu lililojikita nadhani hii PR ya kijinga inakuwa imewarahishia kazi ya kupata target yao.
   
 12. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu usilinganishe mambo ya Marekani na hapa bongo.
  Bongo hakuna ulinzi wa aina yoyote wa 24 hrs kwa watu wake dhidi ya majambazi.
  It is prudent to play it safe kwa kutomwaga mpunga kwa kuku wengi, at worst ni kuwaweka hawa vijana at risk.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  na mie msinitoe hadharani jamani maana awa majambazi
  awafai naomba,nilishauri tu kwenye upande wa kazi
  wazee wa kazi;tuoneeni huruma jamani mbona
  matukio mfululizo hivi sasa;kunani?ama jeshini wanamwaga silaha ovyo??
   
 14. O

  Omumura JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Muuaji humjui kwa sura yake!!!
   
 15. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mkuu hii nchi yetu ina maajabu sana. Unaweza ulawaelewesha hata wasitambue ni nini unachoongea. We ve got serious &thinling' problems at top level management of our nation.
   
 16. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  You are right guy. Hili jambo limenikera kweli. Mbona majambazi wakikamatwah hawawataji hata majina wanajitetea eti kwa ajili ya kutunza ushahidi. watatuonyesha silaha and the likes. Halafu aliyeua jambazi unamtangaza kwenye vyombo vya habari, hivi huyu kichwani ana ubongo au matope? Kwanini asituonyeshe majambazi ili tunayewajua tuwasaidie kuwatajia hata jamaa zao wa karibu ambao tunadhani wanashirikiana katika mambo ya uporaji?
  Sasa huyu binti maisha yake yapo hatarini sana, kwa kuwa hawa majambazi waliouawa wana ndugu zao, wana majambazi wenzao na wana kila aina ya support hata kutoka kwa baadhi ya askari. Wanafikiri watajiskiaje kuona huyu binti anapongezwa wakati wao wamepoteza ndugu yao na rafiki yao. Huyu Kova mwehu kabisa, kaniboa kwelikweli.
   
 17. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  bongo wanapenda sana kupigwa picha, si unajua wote mwishoni wakishastaafu watagombea ubunge? sasa kufanya kazi bongo ndio mtaji wa kujitangaza, vijijni huko nani atakayekuona? . mpo hapo wazee?

  visenti vyenyewe vimetolewa na dk makomeo, a.k.a maghufuli
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
 19. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Gwakisa uko sawa kabisa, Kova nadhani hajui jinsi criminals wanavyooperate ndo maana anakimbilia TV kuonesha kafanya nini. Achilia mbali exposure ya mapolisi athari nyingineni exposure kwa majambazi kuhusu njia wanazotumia polisi kupambana na majambazi.

  Kuwapongeza polisi vilevile ni kosa kwa sababu hiyo ndio kazi yao, hawajafanya chochote zaidi ya mipaka yao ya kazi, hakukuwa na haja ya kuwapongeza. Watu wengi wanafanya kazi zao vizuri tu mbona hawapongezwi???? waalimu doctors, wahandisi etc

  Kova ashauriwe kuachana na kufanya kazi kwa publicity tunapenda matokeo na matokeo tunayotarajia sio kuua bali ni kueliminate ujambazi bila kumwaga damu.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huyu dada atapanda chati mtaani balaa bora wangezawadiwa kimya kimya
   
Loading...