To You Hon Zitto Kabwe, MP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

To You Hon Zitto Kabwe, MP

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimatire, Jan 8, 2010.

 1. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Dear Hon. Zitto Kabwe MP

  Could You Define Your Personal Leadership Vision?

  Leadership vision is an essential means for focusing attention on what matters most; what you want to accomplish in your life and what kind of leader you wish to be. A useful vision has to be rooted in your past, address the future, and deal with today's realities. It represents who you are and what you stand for. It inspires you, and the people whose commitment you need, to act to make constructive change towards a future you all want to see.

  Let's look a bit more closely at the four key components:

  A compelling story of the future is engaging; it captures the heart, forces you to pay attention. Those who hear it want to be a part of it somehow. And they are moved.

  What does your future look like Kabwe- what's the image? If others could travel into the future with you, what would they find? A well-crafted leadership vision is described in concrete terms that are easy to visualize and remember. WATCH OUT!!

  The story of your future should be a stretch, but it must be achievable, too. If it were not achievable, you would have little motivation to even bother trying.

  Finally, future simply means out there - some time from this moment forward, but not so far away that's it's out of reach MAN!. Wishing you the best of Lucky.

  Regards

  Kim- A - Tire
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  zitto again!
  kila kukicha ZITTO

  ZITTO ZITTO ZITTO

  hey hey hey!.....
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Zitto
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Zito Kabwe!!!!!!!!!!!! so tiring aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah come election bwana!!!!!!! wenye kula pilau wale, tshirts, khanga hyaaa!!! siku ya kupanga foleni sijui nani ataenda
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  zitto zitto zitto, too zito to handle politics. What a Hell!!!!
   
 6. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  yes my dear is selfishness, to be a great person like president of rep. Of tanzania.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Jan 8, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,600
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Kimatire, Why Zitto????
   
 8. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Zitto anataka kuwa kama Lamwai enzi akiwa NCCR, lakn bei yao ya kununuliwa ni ndogo! Ameshakuwa 'big headed'
   
 9. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naamini dhambi kuu ya Zitto ni kukataa kufanya siasa kwa style mnayotaka ninyi ambayo mnadhani ndio suluhu la matatizo yenu ambayo ukweli ukiyaangalia sana hayana upeo mkubwa isipokuwa chuki zenu dhidi ya CCM tu.

  Zitto anaangalia siasa zaidi ya kuiondoa CCM madarakani tu. Kwake yeye kitu cha kwanza na muhimu ni kujenga demokrasia makini ya vyama vingi ambayo itawezekana tu pale watanzania watakapoongozwa kuondoa ukiritimba wa CCM (Single party dominance). Cha pili ni kujenga misingi ya watanzania wote kutambua, kuamini na kuthamini utamaduni wa kidemokrasia ambao unachukulia tofauti za kifikira na kimisimamo kama mbolea na sio sumu ya maendeleo. Cha tatu kujenga Tanzania yenye nguvu kiuchumi na kijamii ambayo itawezesha kufanikisha umoja wa kiafrika ambao kwake anaamini kuwa ndio mkombozi mkuu wa madhila na changamoto tunazokutana nazo sasa kama taifa la dunia ya tatu.

  omarilyas
   
 10. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2010
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Maneno mazito sana mkuu!

  Respect.


  FMEs!
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Code:
  
  
  Code:
  
  
  Unafiki haumalizwi kwa unafiki.....(Zitto ni mnafiki sana....)

  Ngoma ikivuma sana matokeo yake ni kupasuka.....(Anguko la Zitto haliko mbali)

  Ni kosa kubwa KUNYEA kambi.......(Ndicho anachofanya Zitto hivi sasa)

  Media haiwezi kusolve internal problems within the political party.......(Zitto kwake ni raha akisikika anaandikwa na Mtanzania, Mwananchi, Uhuru, Rai...nk. Na ni faraja kwake kutumia vyombo hivyo pamoja na TBC +Mlimani TV kutukana Chama chake na Katibu wake kwa madai ya kurejesha Democracy Chamani)


  Ni tatizo kubwa unapoleta utoto kwenye mambo ambayo unapaswa utulie.....(Zitto bado ni Mtoto na anapambana KITOTO)

  TUMECHOSHWA NA HABARI ZA ZITTO
   
 12. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama umemaliza chukua kanga jitundike...Zitto ataendelea kuwepo na kamwe hatasujudia UNAZI wenu
   
 13. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yote uliyoongea ni sahihi kabisa na kila mpenda maendeleo anataka iwe hivyo hata mimi, ila tatizo njia anayotaka kuitumia Zitto ndiyo ina matatizo, ni sahihi kwa nchi zilizojenga mapema demokrasia ya kweli lakini si hapa Tanzania, kwa njia anayotumia itamchukua karne nzima kutimiza matakwa yake na inawezekana asiyatimize, badala ya kuonekana hero sasa anaonekana msaliti, ni wachache sana kama wewe wanaoweza kuona hilo.

  Sasa basi kama ni hivyo afanye nini aendelee kukatiza mto au afuate mkondo wa maji yanakoelekea au asivuke kabisa uchaguzi ni wake.
   
 14. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duuh viongozi wa chadema kaazi kwelikweli.Yaani huko kwenye chama chenu hapatoshi,mmeamua mje mlumbane JF sasa
   
 15. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Well said mkuu,

  Nionavyo tuna ng'ambo mbili. Tunahitaji kitu fulani ambacho kutuunganisha. Nitumie daraja. Ningefurahi sana sana kama Zitto na wewe ungeweza ku create that bridge we are looking for. Nakiri chuki ipo hata mimi nina chuki na CCM. Na mtu yeyote mwenye chuki na ccm halafu mwingine anaonekana kuongeza huwa anaonekana yupo upande wa CCM.
   
 16. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Zito amekwisha, hafai,kala rushwa , chadema wanakuza bomu. kama hii ndio demokrasia mimi siitaki wala siiwezi. Zitto anakauli nyingi sana zenye utata ambazo hazihitaji phd kummwaga mbali bali upeo wa kwaida tu.

  Ila napenda kumwambia Zitto ninaheshimu maamuzi yake, ya kwenda CCM au kuisadia CCM akiwa chadema akijifanya naye ni mwanamapinduzi ndani ya Chadema.
  that made only in Tanzania.
   
 17. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kuna Mtu alisema Siasa za Zitto ni miaka 50 ijayo ( Kama sikosei ni FMES)! Rafiki yangu mmoja aliunga mkono hoja ile mimi niliipinga nikiamini watu hawamuelewi Zitto (kama ambavyo baadhi ya watu wanavyotaka tuamini). Lakini sasa naanza kuamini kauli ile
   
 18. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tumechoka kila siku Zitto Zitto hakuna mengine wakuu wangu mbona kuna vitu vingi vya kujadili wakuu wangu
   
 19. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  It is very true, angalia post no.13 nilisema kwa staili yake ya siasa inawezekana kwenye nchi zilizojenga demokrasia ya kweli mapema lakini kwa demokrasia ya Tanzania itamchukua karne nzima.
   
 20. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hodi mlangoni wana JF naomba kuingia jamvini,
  nafikiri mmeshanikaribisha naanza kwanza na Salaam kisha nasema Hon. Zitto ni mwana mapinduzi halisi asiyejua kuutumia uanamapinduzi wake is like un-guided missile. Mkiniomba kufafanua nitafafanua.
   
Loading...