Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bw.Mkapa,Rais Mstaafu wa awamu ya pili Nchini Tanzania ambaye pia ni miongoni mwa viongozi Wastaafu mashuhuri katika jopo la wapatanishi wa mgogoro wa Kisiasa unaoendelea jirani nchini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nimesoma habari hii ambayo inanifanya nishindwe kuelewa lipi ndio lipi na hasa inafaa kukaa wapi katika forum hii.Lakini hata hivyo nadhani serikali yetu inapaswa kubanwa zaidi kutueleza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJambo wenzangu naomba niwasalimu.... Nimeingia kwenye www.issamichuzi.blogspot.com na kukuta habari kwamba Felix Makene/Felix Chambi amefariki dunia. Kwa kumbukumbu ya harakaharaka huyu ni...
0 Reactions
69 Replies
12K Views
Wana JF mimi natatizwa na suala zima la uteuzi wa makao makuu ya wilaya. Kuna wilaya moja mpya ya Rorya ambayo iko mkoa wa Mara tatizo ni kwamba kuna mabishano na upinzani mkubwa juu ya eneo lipi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kila Jumamosi wananchi wa Sierra Leona wanatumia siku hiyo kufanya usafi wa nchi yao na kuirudishia sura nzuri hasa baada ya uchafu uliokithiri kufuati vita vya wenyewe kwa wenyewe. Siku hiyo...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
WanaJambo wenzangu... Leo naona Michuzi ameshatupostia hotuba ya Mhe Rais JK leo katika uzinduzi wa awamu ya pili ya rejeo hapo juu inapatikana at...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu hii imekaaje? kwanini serikali isjipange vizuri? Bado tunaupungufu wa askari na upungufu wa waalimu sasa asikari ndio wamekuwa waalimu. Du hii sijui wazee nyie mnaiona je. Askari Polisi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
..unamtaka Ballali arudishwe au hutaki arudishwe ili madhambi ya ufisadi yasijulikane!? Posted Date::1/28/2008 Marekani yasema serikali ikimtaka Dk Ballali atarajeshwa Tanzania *Yasema pia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama mnavyojua maonesho ya magari mapya ya msimu wa 2009 ndiyo yamemalizika katika jiji hili la magari (Motor City). Nilipata nafasi ya kwenda huko siku ya Jumamosi na niliyoyashuhudia ndiyo haya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Here is some unusual footage that show Taliban Mujahideen organizing and then carrying out an ambush against NATO forces in the Nurestan province of Afghanistan, pinning down the foreign forces...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Every now and then we see the blatant attempts by mainstream media to hide the reality and peddle false propaganda to deceive the public but sometimes the truth is so vivid that even the worst of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba kuuliza kwani hatuna ubalozi sudan? wakati sudan wana ubalozi wao hapa TZ kwa miaka zaid ya 10 sasa...
0 Reactions
57 Replies
13K Views
Ndugu wana JF masikitiko yangu kuona jinsi hii ndege yetu tulioipokea kwa shangwe kubwa na mambo yanayoendelea kutoke,,,,,kwa mtu wa kawaida ilikuwa ni shangwe na faraja na hasa kwetu wenye...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
And this investigation was done in 1994...and here we are in bongo complaining about BOT onawamarekani KAZINI!!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dough! Hapless thieves mistake bread for cash ‘Pair of fools' jailed in Australia after bungled burglary attempt updated 2:15 a.m. ET Jan. 22, 2008 MELBOURNE, Australia - Two...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je inawezekana anaeshitaki kuwakilisha wakili na yeye asiwepo mahakamani kwa muda wote mpaka kesi inamalizika hajaonekana mahakamani. ? Kama inawezekana mshatakiwa anaweza kudai anemshitaki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je inawezekana anaeshitaki kuwakilisha wakili na yeye asiwepo mahakamani kwa muda wote mpaka kesi inamalizika hajaonekana mahakamani. ? Kama inawezekana mshatakiwa anaweza kudai anemshitaki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati Fulani mwaka jana nilikuwa napiga gumzo na rafiki yangu mkenya nikamuuliza mbona sikuhizi simwoni amepotelea wapi akaniambia anajiandaa kwa safari yake ya marekani ndio anafanya mipango...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
I rarely agree with IMF policies or advises, but this time I do. IMF hits at ’long-term’ govt deals with private investors SEBASTIAN MRINDOKO Dar es Salaam THIS DAY THE International...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Raia wa Kongo anaswa Dar na nyara za Serikali 2008-01-25 18:33:26 Na Emmanueli Lengwa, Temeke Mtu mmoja mwenye asili ya Kikongo, aliyetajwa kwa jina la Andason Kasongo, 46, anashikiliwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…