Community Airline Yamwaga Abiria "100"

TAIKUBWA

Senior Member
Jan 20, 2008
115
1
Ndugu wana JF masikitiko yangu kuona jinsi hii
ndege yetu tulioipokea kwa shangwe kubwa na mambo
yanayoendelea kutoke,,,,,kwa mtu wa kawaida ilikuwa
ni shangwe na faraja na hasa kwetu wenye hali ya chini kusikia
bei ya chini kwenda mwanza na kilimanjaro ,,na wengine majuzi tuliweza leta wazazi wetu hata wajidai walipitia mbinguni kuja dar toka mwanza,,,,,
HIVI SASA NILIKUWA NAELEKEA KWENYE MSIBA WA NDUGU YANGU MWANZA NI AIBU NDEGE IMEFUTWA,,,,INA MATATIZO ,,,WATTU HATUAMBIWI NINI KINAENDELEA...NA NAONA WAANDISHI WAA HABARI WAMEJAA HAPA WA TV NA MAGAZETI NATUMAINI STAR TV HAWAPO HAPA NI MSHIKEMSHIKE TUU HAPA NJE..WACHA TURUDI KUANGALIA NINI CHA KUFANYA UKO MAOFISINI......KAMA MSALA NDIO HUU,,,,
KWA KWELI HALI HALISI YA SASA TULIVYO HAPA NI SAWA NA MAHUJAJI KIPINDI CHA WALE NDUGU ZETU ,,INGAWA NASIKIA WANACHEKELEA SASA HIVI,,,KINACHO NISHANGAZA NIMEONGEA NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WANASEMA HUYU JAMAA HAWEZI HII BISHARA WALIAJRI MA CREW WENGI HIVI SASA WAMEWAPUNGUZA JUZI 14 KATI YA 31 NA WALIOBAKIA NUSUS WANARUKA NA WENGINE WANAFANYA KAMA SECURITY ,,,JAMANI CREW NA SECURITY WAPI NA WAPI?????/
Ni masikitiko yangu kuona jinsi ndege hii inavyo cancel flt na jinsi wananchi tunavyoumia hasa sisi wengine unakuta tunaenda kwenye msiba na hakuna jinsi yoyote,,,imebidi niingie kuwaeleza hali halisi hasa wahusika wakuu wa COMMUNITY AIR LINE
Mimi ni ABIRIA niliewahi kupata makasheshe ya kukancel route mpaka nikasema hii ni dhahama au ni laana,,kwanza chakula ni kibaya achilia mbali tunanua,,,sasa nyie watu hii AIRLINE BUSSINESS MMEIINGIA KWA MIADILI GANI??KAMA MNASHINDWA BIASHARA NAWASHAURI MPELEKE HIZO PESA KWENYE ""SICK FM,,RFZ NA STAR TV,,,
KAMA MNATUNYANYASA KILA SIKU HIVI HAKUNA HAJA YA KUWA NA AIRLINE FUNGENI BIASHARA,,
TUNAWAOMBA MJITAHIDI KUJIREKEBISHA VINGINEVYO HATA HIYO BEI ITAKUWA NI UCHAFU TU KAMA MTATU NYANYASA....
 
Pole sana mkuu kwa yaliyowapata,
Siku hizi ATCL na Precision hawapeleki ndege zao tena huko au ilikuwa katika kujaribu mambo mapya?
Hiyo ndiyo hali ya TZ, ndege ya mkuu wa kaya ni kimeo itakuwa hizi nyingine!
 
Inabidi tubadilike kwakweli hayo ni mateso. Sasa wamekuambia itaruka saa ngapi? Au ndio hakuna tena safari?
 
Wakati nafungua thread hii kwanza nilipatwa na mshituko nikidhani dege imeua abiria 100 kumbe nilipoingia kiundani nikaona ni suala la kawaida hapa kwetu. Huyu mwandishi anafaa kuandikia gazeti la Alasiri, vichwa vinaleta pesa. Hata hivyo pole kwa kufiwa na kwa kukwamishwa airport.
 
Presentation yako haijanifurahisha.Umepresent as if ndge imeua watu 100! Halafu umeanza kwa kusema kuwa unaelekea kwenye msiba, kitu ambacho kabla mtu hajasoma habari yote, anapata mawazo kuwa unaelekea kwenye msiba baada ya ajli ya ndege kutokea! After all, what is new with the "cancelling of single flight". Mbona tunaskia hata heathrow inatokea migomo ya wafanyakazi au hali ya hewa inakuwa mbovu, ndge zaidi ya 100 zina kuwa cancelled? tatizo sisi wabongo kila ktu kikitokea kwetu, tuankichukulia as a unique experience, kumbe hata sehemu zingine hivi vtu vipo na ni vya kawaida. MIMI SIJAONA KABISA HAJA YA KUANDIKA THREAD YENYE KICHWA CHA HBR "BREAKING NEWS".Iko wapi hiyo breaking news?
 
Huyu mwandishi anafaa kuandikia gazeti la Alasiri, vichwa vinaleta pesa.

Bubu umenifanya nicheke sana maana alasiri si mchezo, Utasikia
"JK afanya kweli"
"vigogo wazikimbia ofisi"

Ukiingia ndani ya hilo gazeti utakuta ni maafisa watendaji wa Tunduru vijijini waeenda kusimamia zoezi la ujenzi wa shule za MMEM baada ya kajimkwara ka JK.
 
Presentation yako haijanifurahisha.Umepresent as if ndge imeua watu 100! Halafu umeanza kwa kusema kuwa unaelekea kwenye msiba, kitu ambacho kabla mtu hajasoma habari yote, anapata mawazo kuwa unaelekea kwenye msiba baada ya ajli ya ndege kutokea! After all, what is new with the "cancelling of single flight". Mbona tunaskia hata heathrow inatokea migomo ya wafanyakazi au hali ya hewa inakuwa mbovu, ndge zaidi ya 100 zina kuwa cancelled? tatizo sisi wabongo kila ktu kikitokea kwetu, tuankichukulia as a unique experience, kumbe hata sehemu zingine hivi vtu vipo na ni vya kawaida. MIMI SIJAONA KABISA HAJA YA KUANDIKA THREAD YENYE KICHWA CHA HBR "BREAKING NEWS".Iko wapi hiyo breaking news?

..point is hii shirika ya ndege sio reliable hata kidogo,and so they need to pull their acts together!

..kuna jamaa ameshasafiri na hii na akapata matatizo kama haya!

..bure aghali,i think kama una safari ya muhimu,you should be careful kutumia hii!
 
Jamani tafadhaali sana wana JF tusitumie vibaya neno BREKING NIYUZ!.

Kutokana na bei ya tikiti kuwa ndogo usitegemee huduma bora,tena wewe omba Mungu tu ufike salama safari yako maana inawezekana pia wakashindwa kufanya matengenezo muhimu kutokana na gharama kubwa za uendeshaji na kutoza nauli kidogo.

Nakupa pole ndugu yangu kwa msiba na pia nakutakia safari njema iwapo ndege hiyo itatengamaa.
 
Tembea uone, Ndege nyingi za Bei poa Duniani zina aina moja ya matatizo...

Hilo ni kweli ndugu, kunasiku niliwahi panda ethiopian airline, mama jirani yangu kaletewa chakula kilicho bakishwa na abiria mwingine, yule mama kastukia kwani ilikuwa wali umechanganyikana na tambi.. loooo!! na yule mama hakutaka kukubali yaishe.. alizua tafrani mpaka mkuu wa cabin akaja bembeleza ndo mama kutulia!!

kwahiyo hizi ndege za bei rahisi zina tabu kweli kweli!
 
Hapa mie naona afadhali ndege haikuwepo nadhani sio makusudi inawezekzna ikawa ni tatizo la kiufundi kwani ni machine (mtambo) kama nyinginezo. kung'ang'ania safari hali mbaya inaweza kukukuta angani. Fikiria hapo!!!!

Kuna dalili za ushabiki na chuki binafsi kwani huduma za ndege zote zilizopo nchini hakuna iliyobora zaidi ya hapo. Kama ni msafiri wa mara kwa mara wa vyombo hivi hapa nchini hili halina ubishi!!!

Kuna jipya hapa???

Natoa hoja.
 
Kuna dalili za ushabiki na chuki binafsi kwani huduma za ndege zote zilizopo nchini hakuna iliyobora zaidi ya hapo. Kama ni msafiri wa mara kwa mara wa vyombo hivi hapa nchini hili halina ubishi!!!

..mswahili akielezwa ukweli,atasema anachukiwa!

..that's a challenge,see it that way!

Kuna jipya hapa???

..jipya hakuna,ila kukosoana ni sehemu ya maisha.

Natoa hoja.

..hoja imejibiwa!
 
Jamani kipi bora, safari ihairishwe ili yafanyike marekebisho au safari iwepo halafu ukapate matatizo ukiwa angani?na labda ni mambo ya kiufundi. NI MAWAZO TU!
 
Jamani haya ya ku-ahirisha safari za Community Airline aka"Shirika la Ndege za Jamii" yametokea mara ngapi? Nikijua yametokea mara ngapi ndio nitakuwa na haki ya kuchangia!

By the way! Anayekataa ndege isiruke kwa sababu za ki-ufundi nadhani sio mwenye ndege bali ni mamlaka ya Anga TCAA!
 
now is 6 times na majana nimepanda ndege ya atcl kwa kutumia community wamekodi na ninarudi jtano kupitia hiyo hiyo ATC.....
hawa watu wameshachoka inaonyesha..ila wana save .
 
Wajanja hawa...hawajachoka ukiona wanaweza kuwakodi hata ATCL ujue kuna mambo bado sema ni ungeni tu kwenye soko.Ila Pdidy wanasave kinoma hawa Jamaa hasa sie pesa za kupatika kama kufungua nati..ni noma.
 
Back
Top Bottom