Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Kweli tusione nchi zimeendelea kukazisifu juu juu tuu kuna some immoral things vimefanywa wazi (slavery) and vilivyofichwa ili kufikia stage waliyofikia!! Ndo maana kila siku najiuliza sisi tunalalamika mfumo wetu wasiasa hauja evolve wananchi hatujaelimika ili kuleta maendeleo..sasa hao brokers and investors hapo juu je? I now agree with those that say true business success can only be achieved by leaving the moral issues for friday msikitini na sunday kanisani..maoni tuu