Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakika ntakuwa sijawatendea haki wana CCM kama sijaeleza vituko vya huyu mzee wetu.... jaman walioangalia taarifa ya habari wameamini kwamba huyu mzee wetu anazeeka vibaya kabisa....wakati...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Zamani ikiitwa Institute of Development Management, na sasa ni Mzumbe university.Naomba tujadili wahitimu wa taasisi hiyo kwani wengi wao (about 80%) wakija huku ughaibuni kufanya masters kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=2UrdSzR0BxU
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa nilivhokiona uwanja wa taifa mpya wakati wa mechi ya simba na yanga,WITH MY NAKES TWO EYES....!naomba nikubaliane na nyani julius kwamba MIAFRIKA NDIVYO ILIVYO!pia naunga mkono thread ya Yo Yo...
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Wakuu! Hivi karibuni umezuka Mjadala kuhusu kuandika kabila na Dini kwenye CV. Kwa upeo wngu mdogo naona vyombo vya habari visikomalie saaana hi ''ishu'' coz kama wanataka ifanye kazi basi na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitaka kuwapo kwa sheria ya kudhibiti matumizi ya fedha za uchaguzi na kutenganisha biashara na siasa, Serikali imetajwa kuendelea kupata wakati mgumu katika mchakato...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Heshima Mbele, Siku ya Ijumaa Tarehe 30 October, 2009 nikiwa Mwanza nilifanya Booking ya Ndege ya Precision Air kwa ajili ya kutoka Mwanza Tarehe 01 November, 2009 (Jumapili)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana na leo shule tano za kinondoni na moja ya Ilala zinaendelea kufanya mtihani wa darasa la saba kwa mala ya pili, msemaji wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi amesema kuwa ni kwa ajili ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
</SPAN> Tuesday, November 03, 2009 9:21 AM Mahakama nchini Uingereza ina wakati mgumu kuamua kama mtoto wa kiume ambaye anapumua kwa kutumia mashine lakini ana uwezo wa kusikia na kuona...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF, Natumaini wahusika wa makampuni ya simu hapa nchini TZ wapo humuhumu ndani ya JF, mtakubaliana na mimi kuwa Vodacom wiki hii hadi sasa hivi ninapopost hii thread mtandao unasumbua kweli...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
</SPAN> Tuesday, November 03, 2009 7:56 AM Mwanaume mmoja nchini India ameifungulia kesi mahakamani kampuni moja ya pafyumu kwa kushindwa kupata mpenzi baada ya kutumia pafyumu za kampuni hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
People nahitaji msaada wenu. Kwa bahati mbaya sana tulifiwa na mama yetu muda mrefu sasa. Kabla ya hapo familia yetu ilikuwa ni ya watu wa kufanya kazi kwa bidii na kujituma. tulikuwa na miradi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nikiwa kama mteja wa Vodacom kwa kipindi kirefu, nilijiunga na utaratibu mzima wa tuzo point toka kipindi ulipoanzihwa na nikawa najikusanyia points nia na madhumuni ni kwamba nikusanye point...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
FOUR more foreign companies are currently in talks with the government with intent to acquire shares in the troubled Air Tanzania Company Limited (ATCL). The government had since last year been...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hongereni menejiment ya PRECISSION AIR kwa kutoa ajira endelevu kwa vijana mbalimbalai ambao badhi yao wamekuwa wakinyanyasika zaidi ya miaka kadhaa kwenye baadhi ya makampuni.......,wakiongea kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naamini kuna wengi mlishasikia kuhusu kesi hii... pia naamini wengi bado mnaifatilia. It is fascinating to know what dirty business went on behind the coup. Below are profiles of some of the...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari za leo wanajamii.Nimesikia kuwa Tanzania tumekubaliwa kushiriki kwenye International Golf Union.Na mwakani Tanzania itaenda Buenos Aires Brazil kushiriki.Je sisi wacheza golf za viwanja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naona hili haliko sawa na sijui kwanini,au ndo sera ya CCM ZANZIBAR?au ndio sera ya elimu ktk serikali ya MAPINDUZI ZNZ? Jana nilikuwa mmoja wapo wa waalikwa ktk mahafali ya kumaliza elimu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
The Girl with X-Ray Eyes ONE hundred and ten years ago, German physicist Wilhelm Roentgen announced his discovery of an invisible form of radiation that could make photographs of bones and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi Everyone, Is there by any chance in this forum, an acquaintance of Godfrey Mwampembwa a.k.a. GADO? The famous political cartoonist of the Daily Nation Newspaper and the creator of the XYZ...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom