Je?, Mbona Mkapa Amekimbia Kenya?

Hauxtable

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
386
17
Bw.Mkapa,Rais Mstaafu wa awamu ya pili Nchini Tanzania ambaye pia ni miongoni mwa viongozi Wastaafu mashuhuri katika jopo la wapatanishi wa mgogoro wa Kisiasa unaoendelea jirani nchini Kenya,inasemekana umeomba udhuru na kuondoka nchini humo na kurejea nyumbani Tanzania maramoja kwa kile kinachosadikiwa kuwa ni lile joto la kurejea kwa Bw.Balali kutoka Nchini Marekani na ushahidi ambao utawataja wale wote waliohusika moja kwa moja na upotevu wa Mabilioni ya shilingi ya walipa kodi.
ikumbukwe kuwa Bw.mkapa alikuwa Bosi wa Bw.Balali kwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom