WanaJambo wenzangu naomba niwasalimu.... Nimeingia kwenye www.issamichuzi.blogspot.com na kukuta habari kwamba Felix Makene/Felix Chambi amefariki dunia. Kwa kumbukumbu ya harakaharaka huyu ni yule mwenzetu ambaye tulietewa habari kwamba hali yake ilikuwa mbaya siku 2/3 zilizopita.....
Naomba kutoa pole zangu kwa mke na mtoto wa marehemu, familia, ndugu, jamaa na marafiki... Pia zaidi kwa WanaJambo wenzangu sababu alikuwa ni active member!!!! RIP Brother!!!
Naomba Mods waisogeze pale itakapojiri lakini nimeona niiweke hapa ili iweze someka na wengi wetu.... Mods, kama nimekosea kwa kuiweka hapa naomba radhi!!!!