Je inawezekana anaeshitaki kuwakilisha wakili na yeye asiwepo mahakamani kwa muda wote mpaka kesi inamalizika hajaonekana mahakamani. ?
Kama inawezekana mshatakiwa anaweza kudai anemshitaki afike mahakamani ?
Invisible, itabidi ufanye hima forum ya mambo ya sheria na mahakama isimame hivi mapema. Swali la Mwiba hapo juu naona ni la nguvu... wataalam wamsaidie jamani..