Maonesho ya Magari 2008

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,485
40,014
Kama mnavyojua maonesho ya magari mapya ya msimu wa 2009 ndiyo yamemalizika katika jiji hili la magari (Motor City). Nilipata nafasi ya kwenda huko siku ya Jumamosi na niliyoyashuhudia ndiyo haya tatizo camera yangu iliishiwa mafuta mbele ya safari, so what I have I give it to thee!

The_Auto_Show_023.jpg

Ingia kwenye KLH News na ufurahie picha zaidi ya 50 za magari ya kisasa, na unaweza kukomba uipendeyo na kuipost kwenye thread hii.
 
Back
Top Bottom