Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inakdiriwa watu million 6 wanatarajiwa kufariki kutokana na maradhi ya cancer na hii ni kutokna na uvutaji wa sigara. Taasisi moja inayoshugulika na magonjwa ya binadamu imesema katika hao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
watanzania kuna waraka nimeona chama cha maalbino tanzania kimeomba wale waliokutwa na mauwaji yaa albino wauwawe hadharani. Mbele ya ndugu zao hii itakuwa fundisho kwa walle wote wenye mpango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanajamii nimewaletea hiki kitu ili kuwashtua yaliyonitokea na kuwajulisha kuwa macho. Juzi jumatatu nimepata mail kutoka yahoo ikini warn kwamba kuna wizi wa mail address umetokea na ni lazima...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
November 10, 2009 Chuo kikuu kimoja nchini Brazili kimemfukuza chuo kikuu mwanafunzi wake wa kike aliyejaribu kuingia darasani akiwa amevaa sketi fupi sana na kusababisha mtafaruku mkubwa sana...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kuna mtoto mmoja wa shule ya msingi ameniuliza "KAMA KINA CHA MAJI MTERA KINAPUNGUA NA TUNAKOSA UMEME,HATUWEZI KUCHIMBA KISIMA NA KU-PUMP MAJI HUMO?"
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Najua kwamba nchi hii hakuna sheria inayowabana wenye virusi vya UKIMWI kutokuusambaza kwa wengine. Hivi karibuni mitaa ya kwetu kuna mama mmoja mwenye virusi vya UKIMWI kwa...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
The vehicle overturned during the recovery process. Floods and landslides after three days of torrential rains killed at least 20 people and left 10 missing in northern Tanzania's Kilimanjaro...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nov 12, 2009 Viet Nam hopes to further its multifaceted co-operation with Tanzania, especially in trade, National Assembly Chairman Chairman Nguyen Phu Trong told a visiting delegation of...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Lile zoezi la kuuza samaki maalufu kama samaki wa Magufuli, lililokuwa lifanyike leo, limeshindikana kutokana na kukosekana mizani ya kupimia hao samaki. Wizara imeomba pesa serikalini kwa ajili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dar es Salaam port most productive container cargo handler in east Africa. DAR ES SALAAM, July 20 (Xinhua) -- With 259,000 teus (twenty- foot equivalent units) handled in 2009, the Dar es Salaam...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nani anaejua kwamba atakuwa wapi ndani ya sekunde moja inayofuatia?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nguza Viking a.k.a babu seya (kulia) akiwa na wanawe (toka shoto: Francis, Nguza na Papii kocha 'mtoto wa mfalme' siku walipotinga kizimbani kusikiliza rufaa yao ya kupinga adhabu ya kifungo cha...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
A boy of two has choked to death after a lollipop came off its stick and became stuck in his throat. Francis Dean began struggling for breath shortly after being given the lolly as a treat after...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Absalom Kibanda KAMATI maalum ya kutafuta chanzo cha uhasama miongoni mwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) inayoongozwa na rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, ilimaliza kazi mjini Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unaikumbuka hii Meli...? Wenyewe walikuwa wanaihita "Desemba Twaja"
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Njia mojawapo ya kuokoa makampuni yetu nyeti kama TANESCO, BANDARI, TRL, TTCL, ATCL na mengineyo, ni kuya-list kwenye stock markets za Dar Es Salaam, Nairobi na Kampala. X-market...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna rafiki yangu yuko same amenipigia simu na kusema kuwa kuna maporomoko ya ardhi yametokea huko same kilimanjaro na kuuwa watu wengi. naomba mwenye taarifa zaidi alete hapa janvini asante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauliza swali la kizushi tu hivyo mnisaidie na msinishambulie. Ukiangalia failures nyingi zinatokana na watu wanaopewa dhamana katika uongozi.Nikapata wazo, kwani ni lazima kufuata mfumo uliopo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
na Mwandishi Wetu, Tanga KUNDI kubwa la wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Tanga likiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Profesa Ibrahim Lipumba, jana asubuhi walifurika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom