Viongozi wetu na hatma ya Taifa Letu

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
See our Leaders..kwa wale hamjaiona

- Mtoto kakatwa kiganja kosa la uzembe wa wauguzi- wananchi tulieni tunafanya uchunguzi

- Watu wamekuwa vipofu - ngozi za miili zimeoza migodini kutokana na maji ya kemikali -
wananchi tulieni tunafanya uchunguzi mtajulishwa muda si mrefu.

- Waarithika wa mabomu mbagala - wananchi tulieni tunafanya uchunguzi mtajulishwa mara moja

- Tatizo la ardhi wafugaji na wakulima - wananchi tulieni hilo tunalimaliza mara moja nchi nzima

- Ajali za barabarani - wananchi hili tunalimaliza wakuu wanalishughulikia tunataka kulitokomeza


we have a long way to go - mi nimeshachoka.
 

Attachments

  • Selling Motherland.jpg
    Selling Motherland.jpg
    93.7 KB · Views: 49
ndio ukweli wenyewe huo... si naskia kuna waarabu wanataka wapewe kipnde cha nchi yetu watumie wao kwa kilimo ... kama kule loliondo wana hadi simu zao na bendera zao
 
Back
Top Bottom